Nisaidieni Tatizo kwenye Jamii forum.

Nisaidieni Tatizo kwenye Jamii forum.

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
278
Tokea juzi hili tatizo limeanza kunitokea hadi nirudierudie ndio inakubali kila nikiingia inatokea hiyo msg,
JamiiForums Message
Invalid Redirect URL (http://
www.jamiiforums.com/)
 
Mkuu sio kwako tu hata mimi limekuwa likinitokea ila usiwe na wasiwasi inawezekana server haijatulia
 
Hata mimi inanitokea

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Haswaaaa yaani inawezekana all user.
 
Bora na nyie mmeliona hilo, nilifikiri ni kwangu tu. Halafu inakera sana.
 
Kwenye 'michina' ndio usiseme....
 
Hata mm pia tatizo kama hilo lipo.
 
I guess something got to be wrong with the Host Server za JF...maana hata wakati mwingine JF huwa inakuwa-down
 
Inanitokea mimi pia wakati wa login. Quick-hack-fix ni kubofya home page na kucheck kama imeshakulogin kama bado login again kama tayari unaendelea na maisha. Realfix itafanywa na Invisible and co!:coffee:
 
Last edited by a moderator:
I guess something got to be wrong with the Host Server za JF...maana hata wakati mwingine JF huwa inakuwa-down

Uko sahihi mkuu watu8, japo tatizo hili ni kubwa zaidi ukitumia Internet Explorer, wakati mwingine huwezi hata replay thread.
Kidogo Google Chrome ina ahueni. Nadhani wahusika watalifanyia kazi hilo.

Stay blessed
 
Last edited by a moderator:

Ahsante Nivea, nimepitia lakini naosa solution zao wengi bado zinawasumbua kasoro mmoja aliyebadilisha browser, anatumia mozila badala ya IE.

Kwa upande wangu sikuwahi na huwa si save passwords. Naamini tatizo liko kwenye server za JF. Kwa sasa hivi nna ahueni kwa kutumia Google chrome.

Ubarikiwe
 
Last edited by a moderator:
Invisible mwenyewe njoo uwasaidie watu maana mi nimewasaidia lakini naona tatizo liko pale pale
 
Last edited by a moderator:
Mbona JF Imeanza tumia https kama wiki ya pili nimenotice, ila juzi na jana itakuwa ni kaproblem flani ila kamepotea. Coz hata kama site inatumia https inatakiwa mtu ukifungua kwa http iwe inakuredirect automatically
 
Invisible mwenyewe njoo uwasaidie watu maana mi nimewasaidia lakini naona tatizo liko pale pale

Hi my x huz.... ila mie ulivyonielekeza sasa tatizo limekwisha... hebu waelekeze na wao vile ulinielekeza!!! :smile: :smile:
 
Last edited by a moderator:
Got the same problem. Buchanan, Meezy, hapa nilipo sina mamlaka ya kubadili browser, hadi waamue wao, can you help with this problem? Shida niliyonayo ni kama alivyoeleza mleta thread hapo juu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom