Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,352
- 111,633
Asante mpendwa ila binafsi naamini something got to be wrong from the Server side maana tatizo lenyewe hutokea kwa Mobile Users na Desktop Users.
Platforms ya hizi web-browser yaa mobile na hizi za computer ni tofauti kidogo ndio maana binafsi naamini kuna shida huko.
Halafu si hili tu, hata ukiwa unapitia notifications hususani "Mentions" na "Quotes" , mathalani ukiwa na mentions ambazo zipo zaidi ya page moja, kuna notification error huwa inatokea kitu kinachofanya mtu ushindwe kuona mentions au quotes za kuanzia page no. 2 na kuendelea.