Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,192
- 3,353
wadau nlikua naomben yeyote mwenye proxy yenye speed anisaidie maana uswebproxy haikubal
mh mbona turbo hide wanasema limit ni 200 mb halafu daveproxy haikubal mkuu
- daveproxy.co.uk
-useproxyfor.me
-turbohide.com(haisuport youtube)
Hili somo sijalielewa bado!!!
Mimi natumia I can has so hivyo vidude unaviingizaje? vidadili humo humo au navyo vina njia yake? tafadhali naomba darasa hata kwa pm wakuu
Kulingana na maelezo yako sina hakika kama kweli unachohitaji ni proxy server au download manager with download resume support.wajameni naomba km kuna m2 anaweza kunisaidia proxy inayo support download resume and youtube
Proxy zenye resume downloads tumia hizi67.159.14.94 hide my IP ==> slow surf, IDM resume, NO for YOUTUBE72.10.53.126 (resume download, 1gb limit, not good for browsing)Kulingana na maelezo yako sina hakika kama kweli unachohitaji ni proxy server au download manager with download resume support.Proxy server ni software mechanism inayokuwezesha ku share internet connection kwenye local computers under firewall policy.Download manager is a piece of software used to control files you downloads from the internet, this is bypassing your web browser download functionalityDownload manager with resume support ni yenye uwezo wa kuendelea na download ambayo haikumalizika labda baada ya data volume kuisha, kukatika umeme nkKama hasa ndio unayohiitahi tumia free download manager FDM
- daveproxy.co.uk
-useproxyfor.me
-turbohide.com(haisuport youtube)
naomba msaada jinsi ya kuziingiza hizo proxy na kuweka ktk mozilla
jamani ni proxy gan inacheza you tube bila mikwamo? msaada.
hertz proxy ndiyo mzukanashukuru mkuu...