Nisaidieni proxy zenye speed nzuri

Nisaidieni proxy zenye speed nzuri

wakuu tusaidiane unaconvet aje.... then plz prx znazowrk wth mediafire.... hata kama hazresume na zzina limitation.....
tumia superscan 4 kuconvert...tho inaaddition features mingi,,,,,,
 
jamani tujuzane....kuna loophole ingine ya kutumia free internet?......
 
Na wale ambao tunatumia simu inakuwaje aisee

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kiukweli nimetoka kapa kabisa jamani naombeni somo naona sisi tusiojua mengi tunakosa mengi pia, kwani hizo proxy ni nini hasa na zina kazi gani na zinakaa wapi na kama sina ninmazipataje? naomba msaada wanjanvi.
 
Si tunajaza namba ktk setting? Sasa hizo namba nazihitaji.

Trick zote zimebutuliwa so hakuna tena mteremko kaka!!!
Hartz proxy nilitoa kitambo na ndiyo tegemeo kwa wengi ndo maana wamekausha so ridhika na hizo alizotoa mdau hapo juu
 
Unatakiwa ueke ip adress na port na sio jina hizo nlozitaja juu watakiwa uziconvert kwanza.

bonyeza tool then option itafunguka tab

Katika tab ilofunguka bonyeza advanced kisha network utaona sehemu ya proxy click hapo

click manual proxy sehemu ya ip eka

173.242.124.71 na port 80

Bonyeza ok then ok ur done.

Ip nyengine unayoweza tumia ni 69.64.49.253 na port 80 zote zinasuport youtube

Chief Mkwawa, nimeingiza hizo na zinafungua mahali pananitaka niingize kitu... na pale pembeni pana kitufe cha GO, nyingine inakuja na kunipa kitu kama user name na password Mzee natokaje hapo?
 
Kuna habari mbaya!!!
Jana nilikuwa nakamua madude ghafla net ikakata nikamaliza proxy zote bila kupata utamu ajabu nilipoweka line nyingine ya mtandao ule ule, mambo safi but baada ya muda nayo ikakata utamu.
Nina wasi wasi Jamaa wameanza kublock line zinazotumia madude but sina hakika.
Je kina SAMRICH1 mmekumbana na tatizo hili au niko peke yangu.
 
Last edited by a moderator:
tumia hii hapa 176.31.222.34 port 80 alaf nenda kwa m.twitter.com fresh namimi nataka za tigo na airtel hiyo ni voda niliyo kugei so ntumie kama you have ok.
 
Kuna habari mbaya!!!
Jana nilikuwa nakamua madude ghafla net ikakata nikamaliza proxy zote bila kupata utamu ajabu nilipoweka line nyingine ya mtandao ule ule, mambo safi but baada ya muda nayo ikakata utamu.
Nina wasi wasi Jamaa wameanza kublock line zinazotumia madude but sina hakika.
Je kina SAMRICH1 mmekumbana na tatizo hili au niko peke yangu.
Same problem kaka na me
 
Last edited by a moderator:
Same problem kaka na me

dah! ka sikosei ni baada ya mb 500..... Hiyo ni case ya dashboard tu kaka.. Kama unatumia modem ya zte jaribu kuconnect kwa kutumia join air afu kama huawei tumia portable version yoyote ya mobile partner
 
sidhani kama hayo matobo yapo tena maana proxy zote bila bila!!!
kama una spesho 1 pm mwana
 
Back
Top Bottom