Nisaidieni proxy zenye speed nzuri

Chief Mkwawa, nimeingiza hizo na zinafungua mahali pananitaka niingize kitu... na pale pembeni pana kitufe cha GO, nyingine inakuja na kunipa kitu kama user name na password Mzee natokaje hapo?

hapo kwnye passwrd+username mpk urequest toka kwa webmaster wa hy proxysite husika na kwa7bu wanapata too much traffic from mobile @ no DNS proxy.tho wanaweza kwambia pia password changes day2day.
 
Back
Top Bottom