Nisaidieni niache kucheza kamari - Sports betting

Valid_Options

Member
Nov 13, 2010
43
0
Wakuu kwa mwaka wa tatu sasa huwa nacheza kamari kwa kubet mechi za soka hasa ligi ya Uingereza pale New Africa Casino through ladbrokes tokea nasoma IFM na hadi sasa kwa miaka mitatu nimepoteza kama dola elfu 18 ila kuacha nashindwa kwa sababu natumai iko siku nitashinda na kurudisha pesa zangu lakini kila nikijaribu kubet huwa naliwa tu. Naombeni sana msaada wenu jamani nitaachaje hii kitu maana pamoja na kuliwa pesa huwa sina raha kabisa maana waweza kubet say Arsenal to win lakini hadi half time unashangaa washapigwa 2 yaani huwa napata presha iko siku nitakufa kwa ugonjwa wa moyo
 
Wakuu kwa mwaka wa tatu sasa huwa nacheza kamari kwa kubet mechi za soka hasa ligi ya Uingereza pale New Africa Casino through ladbrokes tokea nasoma IFM na hadi sasa kwa miaka mitatu nimepoteza kama dola elfu 18 ila kuacha nashindwa kwa sababu natumai iko siku nitashinda na kurudisha pesa zangu lakini kila nikjaribu naliwa tu. naombeni msaada wenu jamani nitaachaje hii kitu maana pamoja na kuliwa pesa huwa sina raha kabisa maana waweza kubet say Arsenal to win lakini hadi half time unashangaa washapigwa 2 yaani huwa napata presha iko siku nitakufa kwa ugonjwa wa moyo

Natumai wewe ni mwanaume so cha kufanya kama umeoa au una mpenzim kuwa karibu na mpenzi wako au familia na weekend tembelea ndugu au fanya mambo ya maendeleo pia jihusishe na michezo au nenda sehemu za burudani za wazi kama leaders na ukishindwa waambie hao jamaa wa Casino kuwa unataka kuacha hiyo kitu kwa hiyo kila wakikuona wasikupe huduma ya kubet.

Kamari nimbaya sana kaka kwa mujibu wa maandiko haya.....
KUCHEZA KAMARI.

Kucheza kamari ni miongoni mwa madhambi makubwa sabini na ni kamba madhubuti ya Shetani.

Pia ni ugonjwa wa hatari kama vile ulevi, na ukiota mizizi kwenye moyo wa mtu huwa taabu kuponeka.

Nayo ni njia ya kupotezea wakati na mali, na humpelekea mcheza kamari kuwa bakhili na kufanya vitendo vilivyo haramu. Na ili kutimiza na kufanikisha lengo lake, mcheza kamari yuko tayari hata kuuwa ili apate fedha za kuchezea kamari au kuweka rehani nyumba yake au mkewe. Na kamari huleta uhasama na ugomvi baina ya watu. Mwenyezi Mungu S.W.T. kasema katika Suratil Maida aya ya 90 na ya 91,
 
Nadhani kwa jinsi nilivyolewa hii kitu hiyo kwenye red possible solution ya kunikomboa toka kwenye hii kitu haramu, thanks El Toro
 
kwani unalazimishwa , piga chini endelea na mambo mengine
 
Wakuu kwa mwaka wa tatu sasa huwa nacheza kamari kwa kubet mechi za soka hasa ligi ya Uingereza pale New Africa Casino through ladbrokes tokea nasoma IFM na hadi sasa kwa miaka mitatu nimepoteza kama dola elfu 18 ila kuacha nashindwa kwa sababu natumai iko siku nitashinda na kurudisha pesa zangu lakini kila nikijaribu kubet huwa naliwa tu. Naombeni sana msaada wenu jamani nitaachaje hii kitu maana pamoja na kuliwa pesa huwa sina raha kabisa maana waweza kubet say Arsenal to win lakini hadi half time unashangaa washapigwa 2 yaani huwa napata presha iko siku nitakufa kwa ugonjwa wa moyo

Kwanza kabisa hongrea unaonekana uko kwenye track nzuri unajitambua na unatambua unachofanya na madhara yake.

Binafsi naona hautaji msaada wa mtu yeyote zaidi yako kujisaidia mwenyewe na umeshainisha kila kitu. labda kama ni msaada wa kuendelea ku bet nakushauri muone sheikh yahya. Atakupa mbinu za kubet ili ushinde. Yaani betting on top of beting

Teh teh teh teh
 
Mkuu pamoja na machungu ya kuliwa kila kukicha umenichekesha sana nitajaribu kumuona Sheikh Yahya nipe muongozo wa kuwin otherwise i will call it a quit
 
This guidance can help you too..

ompulsive Gambling Prevention

Most people play games of chance for recreation. There are, however, some people who have a serious gambling problem that impacts negatively on their lives and the lives of their friends and family. A person who plays excessively or obsessively may neglect a spouse, children, and friends. They might begin to perform poorly at work or school, get into debt or play with borrowed money. Problem gambling is not restricted to a particular social status, ethnic group, gender or age.

888.com recognizes that while most people gamble for entertainment, a small number of people can become obsessed with playing games of chance. Even though studies suggest that only a very small percentage of the adult population encounters compulsive gambling problems, we take this matter seriously and have accordingly implemented a number of measures to address this issue:

1. 888.com's training program incorporates methods and techniques that assist our employees in recognizing and taking appropriate actions when they identify compulsive or underage gambling.
2. We have implemented an easy to use self-exclusion program for those who may need our assistance. Upon your request, we will cancel your membership and will prevent you from entering our casino or poker room.
3. We let you set your own maximum allowed deposit amount.
4. Upon your request, we will remove your name from our email list.

Remember!

  • Gambling is a form of entertainment. It is not a way to get rich quickly and pay off debts.
  • Gambling is a game of chance. There are no formulas that guarantee winnings.
  • Make sure that the decision to gamble is your choice.
  • Never try to chase your losses.
  • Set a money limit according to how much you can afford to play and regularly check the amounts you spend at the Cashier.

Like many things in life, activities that are enjoyable in moderation can become disastrous in excess.

Tips for gambling safely
Recreational gambling is fun. Obsessive gambling is not!

Remember!
  • Gambling is a form of entertainment. It is not a way to get rich quickly and pay off your debts.
  • Gambling is a game of chance. There are no formulas that guarantee winnings.
  • Make sure that the decision to gamble is your choice and that you are not pushed or convinced to gamble.
  • Decide how much money you can lose before you play. When that amount is lost-stop playing. Regularly check the amounts you spend at the Cashier.
  • Before beginning to play, decide how much time you can afford to spend. Stop playing when that time is over.
  • Make sure you know the rules of the games you play.
  • Never chase your losses – never try to get back money you lost. This mostly leads to bigger losses.
  • Make sure gambling does not exclude you from enjoying other activities in your life. Balance gambling with other forms of recreation. Do not let it interfere with work and family.
  • Never gamble when you are emotionally down – it is hard to make rational decisions when you are upset or depressed.
  • Never borrow money to gamble.

A recently published study estimates that 39% of compulsive gamblers are able to solve their gambling problem by themselves. (Hodgins, D.C., Wynne, H., & Makarcuk, K. (1999) "Pathways to recovery from gambling problems." Journal of Gambling Studies, 15, 93-104)

Recreational gambling is up to you.
Please, play responsibly!
 
Pole sana kaka. Bahati mbaya TZ bado serikali haijaliona hili kuwa ni tatizo la kiafya na hiyo kuanzisha taratibu za "Rehabilitations". Kama upo Ulaya, na kwa kuwa umeshaona tatizo lako, zipo programu nyingi za kujiunga nazo, lakini kwanza jiulize, "Kweli unataka kuwacha?".

Ondokana kabisa na wazo la kwenda kumuona Sheikh Yahya kwani kama angelikuwa analifahamu hilo kweli, kwanza angelianza yeye kucheza kamari na kuwa tajiri. Naamini ukienda pale na hyeye atataka ummegee pesa kidogo.
Kwa kuwa kamari umeanishwa kuwa ni moja kati ya michezo ya burudani, jaribu kutafuta mchezo mbadala wa burudani ambao hautakugharimu pesa, hasa michezo ya nje (na siyo ya mezani kama vile karaka au online games), kwani mbali na kukuburudisha, utakuwa unajenga tabia nzuri kwa afya yako.
Dini nyingi zimekataza kutokana na madhara ya kiakili na kimali. Jaribu kutoikaribia hasa kwa sababu umeshaanza. Unaweza kuanza na wazo la kucheza pesa kidogo tu ukaishia kukumta mfuko wote.
Ni ngumu, lakini jaribu, inawezekana
 
pole sana naona hapo juu wamekupa ushauri mzuri ..ukiufanyia kazi hutapata tena hamu ya kwenda kwenye kamari
 
Jaribu kujifunza na kuelewa zile odds zinazotolewa za matokeo mbalimbali. Jiweke up to date na takwimu zote kuhusiana na mechi husika kama vile, wachezaji majeruhi, walio katika fomu, waliosimamishwa, hali ya hewa, ubora wa wapinzani, wapi mechi zinachezwa n.k

Pia epuka tamaa ya kudhani kwamba odds zinazoahidi returns kubwa ndio nzuri, hizi huwaga hivi kwa sababu ni wacheza kamari wachache ambao pia huchagua aina hiyo ya matokeo. Kwa mfano ukiona odds za 2-1 na 100-1, ni bora ukajihadhari na hiyo ya 100-1.
 
Wakuu kwa mwaka wa tatu sasa huwa nacheza kamari kwa kubet mechi za soka hasa ligi ya Uingereza pale New Africa Casino through ladbrokes tokea nasoma IFM na hadi sasa kwa miaka mitatu nimepoteza kama dola elfu 18 ila kuacha nashindwa kwa sababu natumai iko siku nitashinda na kurudisha pesa zangu lakini kila nikijaribu kubet huwa naliwa tu. Naombeni sana msaada wenu jamani nitaachaje hii kitu maana pamoja na kuliwa pesa huwa sina raha kabisa maana waweza kubet say Arsenal to win lakini hadi half time unashangaa washapigwa 2 yaani huwa napata presha iko siku nitakufa kwa ugonjwa wa moyo
Kweli unahitaji rehab!
 
Jaribu kujifunza na kuelewa zile odds zinazotolewa za matokeo mbalimbali. Jiweke up to date na takwimu zote kuhusiana na mechi husika kama vile, wachezaji majeruhi, walio katika fomu, waliosimamishwa, hali ya hewa, ubora wa wapinzani, wapi mechi zinachezwa n.k

Pia epuka tamaa ya kudhani kwamba odds zinazoahidi returns kubwa ndio nzuri, hizi huwaga hivi kwa sababu ni wacheza kamari wachache ambao pia huchagua aina hiyo ya matokeo. Kwa mfano ukiona odds za 2-1 na 100-1, ni bora ukajihadhari na hiyo ya 100-1.
Mkuu inaonyesha una utaalamu wa hii kitu sana duh
 
Negative Effects of Gambling
Gambling is practiced as a means of recreation. But does it invite any amount of peace? Does it result in mental satisfaction? The answer is negative. Research has rather shown that gambling can lead to harmful behavior in some people. Gambling has been proved as being an addictive activity. The addiction leads the gamblers to continue with gambling activities irrespective of whether they earn or lose in the deal. Gambling can in fact be a thoughtless splurge of money and valuables.

Gambling is believed to lead the gamblers towards crime. The addiction gets on to them to such an extent that they fail in thinking wisely before acting due to which they might land up in worse situations. They may take wrong decisions in life. People who fall prey to gambling tend to drift away from their families and waste money on other bad practices. The treatment of such addicts again needs money. There is a lot of expenditure on curing the addicted gamblers of society.

When gamblers indulge into excessive gambling activities, they tend to spend time and money at the expense of their jobs and time with family and friends. They tend to stay away from their near ones, resulting in distrust between them and their loved ones. Gambling at the cost of one's job results in a decline in the quality of one's professional life. Addiction to gambling is sure to hamper one's career.

People are seen taking to gambling as a way to run away for their problems, stress, anger and loneliness. Gamblers often exhibit mood swings and a strangely secretive behavior. They run behind gambling without the thought that gambling is actually inviting more problems in their life. Their unquenchable thirst of profits makes them continue wanting more. They start borrowing money and taking secret loans to bet money. In spite of the losses they face, they continue betting. Their addiction to gambling can leave them in bankruptcy.

On looking at the negative effects of gambling, we realize that a little bit of gambling can serve as a recreational activity but its excess, resulting in addiction should be strictly avoided.
 
siwezi kuacha kucheza kamari aisee........halafu nina "kismati" ile mbaya.......high rolling kwa kwenda mbele..........
 
Back
Top Bottom