kuna mzungu kanipenda na yupo tayari niishi naye ili nipate uraia wa huko tatizo mie simpendi na pia nina mpz wangu huku sema sina kazi na maisha ya tz mnayajua so nifanyaje nimuache mpz wangu kwa ajili ya kupata uraia wa marekani au ?????Maisha ya bongo vijana si mnayaona mie kwakweli nafikirilia sana sina cha kufanya
Watu kibao wanauraia na wana maisha magumu kwa nini umuache mpenzi wako.Love na Uraia kazi unayo
kuna mzungu kanipenda na yupo tayari niishi naye ili nipate uraia wa huko tatizo mie simpendi na pia nina mpz wangu huku sema sina kazi na maisha ya tz mnayajua so nifanyaje nimuache mpz wangu kwa ajili ya kupata uraia wa marekani au ?????Maisha ya bongo vijana si mnayaona mie kwakweli nafikirilia sana sina cha kufanya
kuna mzungu kanipenda na yupo tayari niishi naye ili nipate uraia wa huko tatizo mie simpendi na pia nina mpz wangu huku sema sina kazi na maisha ya tz mnayajua so nifanyaje nimuache mpz wangu kwa ajili ya kupata uraia wa marekani au ?????Maisha ya bongo vijana si mnayaona mie kwakweli nafikirilia sana sina cha kufanya
Kwenye mapenzi hakuna opportunity.ukifuata opportunity utaumbuka vibaya .utakufa lonely aloneNaomba nielewesha kidogo Natalia i mean mie nafikiria my life naona hii ni kama opportunity ya kutoka hebu niambie kiundani ugumu unakuja wapi once nikiwa nae huku europe
Kwa hiyo huko tayari kuwa mama wa nyumbani? unategemea kukaa milele bila kazi?huna mikono?
Natalia naomba nikutafutie zawadi ya pasaka!