Nisaidieni mwenzenu mm msinicheke

Apr 7, 2012
32
5
jamani naombeni munifundishe namna ya kuweka na picha yangu kwenye profile yangu kama nyinyi namaanisha zitokee details na picha yangu. Please kwa yeyote yule naomba anisaidie msinicheke sijui kweli na mimi ni mgeni katika jf. tafadhalini sana naomba munisaidie ndugu zangu
 
karibu sana jasmin...wala usijali watakupa maujanja hapa...mm labda ningekua na namba yako.
 
Bagah ngoja tumalize pasaka ndo uanze tena kutokea wadada wa watu! Mswalie mtume kaka, lol!

Mwaya mgeni karibu. Inabidi uwe na posts kadhaa, vuta subira kwanza. Wakati huo jihadhari na papa na nyangumi...
 
haha!...kwa nia njema tu madam...naona ni ngum kumwelekeza kwa msg...
 
kweli jamii forum is not USER FREND...hata mie nlipata shida kidogo.........., imagine ati picha inaitwa "AVATAR"..... nathani wahusika wanatambua hili..........! labda kwa ushauri tu, pawe na user manual...... watu wadownload na wasome namna ya kushiriku humu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom