Sijui kama limewakuta wengine hili

Sijui kama limewakuta wengine hili

Mtandaoni

Senior Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
134
Reaction score
65
Wapendwa ndg zangu habari!

Jamani mmi naomba kama kuna njia ingine mbadala nisaidieni, Nina account ya fb niliokuwa natumia wakati fulan, ilikuwa kila nikitaka kuingia lazima niingie kwa uthibitisho wa msimbo wa usalama maana niliweka security code.

Bahati mbaya lain ilipotea na Haina uwezekano kuirudisha Kwan kuna wakati ilishasajiliwa kwa jina lingine baada ya mm kukosa namba ya nida.

Hivyo Sasa kwa wakati huu natumia simu ingine kila nikitaka kuingia wanatuma msimbo kwa namba hiyo na Sina namna ya kuzipata code,

Je kuna njia tofauti ninayoweza kuitumia Hadi kuifika account yangu na sikuwa na namba mbadala ya uthibitisho
 
Ukipiga hiyo namba inapatikana? Niliwaza ujinga ungelikuja kuibiwa akaunti: nilitaka umpigie umshawishi then akutumie hizo code chapu uweke halafu ikifunguka uondoe hizo namba mara moja kwenye acc. Hapo mchezo umeisha.

Chinguza huyo mtu ni nani na saikolojia yake ikoje usije hakiwa.

Kwisha habari ukimpigia na huwezi kutoa ripoti ifungiwe hiyo namba umeliwa teyari,

mhonge hata hela na ndio madhara ya kutumia viambata ambavyo sivyo vya kwako kwa matumozi yako kwishaaaaa
 
Mi nilishindwa vipengele vyao tu, nilijaribu kutumia option ya bila namba maana email sikuweka enzi hizo

Wakanipa option ya kuchagua marafiki watano (marafiki wenyewe nimechaguliwa) ambao watarequest na kunitumia code maalum ili nifungue akaunti yangu, pamoja na kuwaomba hakuna aliefanya hivyo maana wengine wanahisi kama utapeli🤣

Lengo lilikuwa moja tu, kufuta picha za kicomedy ambazo enzi nilikuwa najitafuta niliziweka fb, naonaga za kifamba sana🤣, siku nikiwa maarufu wadwanzi wasizitumie kufanya comedy
 
Ndio email iko
𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐮𝐧𝐚𝐢𝐤𝐮𝐦𝐛𝐮𝐤𝐚 𝐣𝐚𝐫𝐢𝐛𝐮 𝐜𝐡𝐞𝐳𝐚 𝐧𝐚 𝐞-𝐦𝐚𝐢𝐥 𝐮𝐤𝐢𝐬𝐡𝐢𝐧𝐝𝐰𝐚 𝐧𝐣𝐨𝐨 𝐢𝐧𝐛𝐨𝐱
 
Ukipiga hiyo namba inapatikana? Niliwaza ujinga ungelikuja kuibiwa akaunti: nilitaka umpigie umshawishi then akutumie hizo code chapu uweke halafu ikifunguka uondoe hizo namba mara moja kwenye acc. Hapo mchezo umeisha
Mimi hiyo option nilijaribu pia, hakunielewa kamwe akahisi ndio wale matapeli wa tuma kwenye namba hii nikaona isiwe tabu nisije nikauponza
 
𝐮𝐤𝐢𝐩𝐢𝐠𝐚 𝐡𝐢𝐲𝐨 𝐧𝐚𝐦𝐛𝐚 𝐢𝐧𝐚𝐩𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚𝐧𝐚? 𝐧𝐢𝐥𝐢𝐰𝐚𝐳𝐚 𝐮𝐣𝐢𝐧𝐠𝐚 𝐮𝐧𝐠𝐞𝐥𝐢𝐤𝐮𝐣𝐚 𝐤𝐮𝐢𝐛𝐢𝐰𝐚 𝐚𝐤𝐚𝐮𝐧𝐭𝐢: 𝐧𝐢𝐥𝐢𝐭𝐚𝐤𝐚 𝐮𝐦𝐩𝐢𝐠𝐢𝐞 𝐮𝐦𝐬𝐡𝐚𝐰𝐢𝐬𝐡𝐢 𝐭𝐡𝐞𝐧 𝐚𝐤𝐮𝐭𝐮𝐦𝐢𝐞 𝐡𝐢𝐳𝐨 𝐜𝐨𝐝𝐞 𝐜𝐡𝐚𝐩𝐮 𝐮𝐰𝐞𝐤𝐞 𝐡𝐚𝐥𝐚𝐟𝐮 𝐢𝐤𝐢𝐟𝐮𝐧𝐠𝐮𝐤𝐚 𝐮𝐨𝐧𝐝𝐨𝐞 𝐡𝐢𝐳𝐨 𝐧𝐚𝐦𝐛𝐚 𝐦𝐚𝐫𝐚 𝐦𝐨𝐣𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐚𝐜𝐜. 𝐡𝐚𝐩𝐨 𝐦𝐜𝐡𝐞𝐳𝐨 𝐮𝐦𝐞𝐢𝐬𝐡𝐚.

𝐂𝐡𝐢𝐧𝐠𝐮𝐳𝐚 𝐡𝐮𝐲𝐨 𝐦𝐭𝐮 𝐧𝐢 𝐧𝐚𝐧𝐢 𝐧𝐚 𝐬𝐚𝐢𝐤𝐨𝐥𝐨𝐣𝐢𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐢𝐤𝐨𝐣𝐞 𝐮𝐬𝐢𝐣𝐞 𝐡𝐚𝐤𝐢𝐰𝐚.

𝐊𝐰𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐡𝐚𝐛𝐚𝐫𝐢 𝐮𝐤𝐢𝐦𝐩𝐢𝐠𝐢𝐚 𝐧𝐚 𝐡𝐮𝐰𝐞𝐳𝐢 𝐤𝐮𝐭𝐨𝐚 𝐫𝐢𝐩𝐨𝐭𝐢 𝐢𝐟𝐮𝐧𝐠𝐢𝐰𝐞 𝐡𝐢𝐲𝐨 𝐧𝐚𝐦𝐛𝐚 𝐮𝐦𝐞𝐥𝐢𝐰𝐚 𝐭𝐞𝐲𝐚𝐫𝐢,


𝐦𝐡𝐨𝐧𝐠𝐞 𝐡𝐚𝐭𝐚 𝐡𝐞𝐥𝐚 𝐧𝐚 𝐧𝐝𝐢𝐨 𝐦𝐚𝐝𝐡𝐚𝐫𝐚 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚 𝐯𝐢𝐚𝐦𝐛𝐚𝐭𝐚 𝐚𝐦𝐛𝐚𝐯𝐲𝐨 𝐬𝐢𝐯𝐲𝐨 𝐯𝐲𝐚 𝐤𝐰𝐚𝐤𝐨 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐭𝐮𝐦𝐨𝐳𝐢 𝐲𝐚𝐤𝐨 𝐤𝐰𝐢𝐬𝐡𝐚𝐚𝐚𝐚𝐚
Ukipga inaita tu huwahaipokelewi mkuu, hata ukijaribu kutuma pesa unaambia taarifa za mteja hazijahakikiwa
 
𝐮𝐤𝐢𝐩𝐢𝐠𝐚 𝐡𝐢𝐲𝐨 𝐧𝐚𝐦𝐛𝐚 𝐢𝐧𝐚𝐩𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚𝐧𝐚? 𝐧𝐢𝐥𝐢𝐰𝐚𝐳𝐚 𝐮𝐣𝐢𝐧𝐠𝐚 𝐮𝐧𝐠𝐞𝐥𝐢𝐤𝐮𝐣𝐚 𝐤𝐮𝐢𝐛𝐢𝐰𝐚 𝐚𝐤𝐚𝐮𝐧𝐭𝐢: 𝐧𝐢𝐥𝐢𝐭𝐚𝐤𝐚 𝐮𝐦𝐩𝐢𝐠𝐢𝐞 𝐮𝐦𝐬𝐡𝐚𝐰𝐢𝐬𝐡𝐢 𝐭𝐡𝐞𝐧 𝐚𝐤𝐮𝐭𝐮𝐦𝐢𝐞 𝐡𝐢𝐳𝐨 𝐜𝐨𝐝𝐞 𝐜𝐡𝐚𝐩𝐮 𝐮𝐰𝐞𝐤𝐞 𝐡𝐚𝐥𝐚𝐟𝐮 𝐢𝐤𝐢𝐟𝐮𝐧𝐠𝐮𝐤𝐚 𝐮𝐨𝐧𝐝𝐨𝐞 𝐡𝐢𝐳𝐨 𝐧𝐚𝐦𝐛𝐚 𝐦𝐚𝐫𝐚 𝐦𝐨𝐣𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐚𝐜𝐜. 𝐡𝐚𝐩𝐨 𝐦𝐜𝐡𝐞𝐳𝐨 𝐮𝐦𝐞𝐢𝐬𝐡𝐚.

𝐂𝐡𝐢𝐧𝐠𝐮𝐳𝐚 𝐡𝐮𝐲𝐨 𝐦𝐭𝐮 𝐧𝐢 𝐧𝐚𝐧𝐢 𝐧𝐚 𝐬𝐚𝐢𝐤𝐨𝐥𝐨𝐣𝐢𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐢𝐤𝐨𝐣𝐞 𝐮𝐬𝐢𝐣𝐞 𝐡𝐚𝐤𝐢𝐰𝐚.

𝐊𝐰𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐡𝐚𝐛𝐚𝐫𝐢 𝐮𝐤𝐢𝐦𝐩𝐢𝐠𝐢𝐚 𝐧𝐚 𝐡𝐮𝐰𝐞𝐳𝐢 𝐤𝐮𝐭𝐨𝐚 𝐫𝐢𝐩𝐨𝐭𝐢 𝐢𝐟𝐮𝐧𝐠𝐢𝐰𝐞 𝐡𝐢𝐲𝐨 𝐧𝐚𝐦𝐛𝐚 𝐮𝐦𝐞𝐥𝐢𝐰𝐚 𝐭𝐞𝐲𝐚𝐫𝐢,


𝐦𝐡𝐨𝐧𝐠𝐞 𝐡𝐚𝐭𝐚 𝐡𝐞𝐥𝐚 𝐧𝐚 𝐧𝐝𝐢𝐨 𝐦𝐚𝐝𝐡𝐚𝐫𝐚 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚 𝐯𝐢𝐚𝐦𝐛𝐚𝐭𝐚 𝐚𝐦𝐛𝐚𝐯𝐲𝐨 𝐬𝐢𝐯𝐲𝐨 𝐯𝐲𝐚 𝐤𝐰𝐚𝐤𝐨 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐭𝐮𝐦𝐨𝐳𝐢 𝐲𝐚𝐤𝐨 𝐤𝐰𝐢𝐬𝐡𝐚𝐚𝐚𝐚𝐚
Hiyo namba nikipiga huwa inaiita lkn haipokelewi jamaa
 
Back
Top Bottom