Nisaidieni kumchagulia jina mwanangu

Nisaidieni kumchagulia jina mwanangu

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,822
Reaction score
5,415
Nimependezwa sana na majina ambayo great thinkers mnajibatiza,nina imani kwa 'suggestion' zenu nitapata jina moja la kipekee sana.Nataka kumpa mwanangu ambaye nategemea kumpata mwaka huu
 
For either a girl or a boy you can call him/her KIMOKO, so u'll be calling mama/baba Kimoko... Lol...
 
Mwite Preta kama ni binti. Pakajimy kama ni kidume..
 
Joshua, Sarah, Nehemia, Esther, David, Mary, Hannah, Deborah, Samson e.t.c
 
Kuna majina nimecheka mpaka basi....
Hili la 'Kimoko' sio mchezo...
Ila kuna la 'Mizengo' nalo full happy.
 
Nimependezwa sana na majina ambayo great thinkers mnajibatiza,nina imani kwa 'suggestion' zenu nitapata jina moja la kipekee sana.Nataka kumpa mwanangu ambaye nategemea kumpata mwaka huu

Mwite MwanaAsha.
 
Nimependezwa sana na majina ambayo great thinkers mnajibatiza,nina imani kwa 'suggestion' zenu nitapata jina moja la kipekee sana.Nataka kumpa mwanangu ambaye nategemea kumpata mwaka huu

Kumbe bado hajazaliwa? Akizaliwa ndio uniulize nitakuchagulia jina maana mimi huwa nachagua jina kulingana na tabia na maisha ambayo ungependa mtoto wako awe nayo na pia kulingana na tarehe aliyozaliwa.
 
muite makinda au blandina kama ni mwanamke,
wassira,jairo au ridhiwan km ni wa kiume
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom