Nisaidieni Jamani

Kumbesa

Senior Member
Dec 29, 2011
113
22
Imetokezea kupendana na msichana mmoja Umri wake unakaribia miaka 28 ,ni aina ya msichana unapokuwa nae utapenda umpeleke kukutana na wazazi au marafiki zako, lakini kuna vitu viwili vinanitatiza na kunipa tabu,kwanza nimekuja kumbabaini anavaa wigi anapoliondowa anaonekana sio yule msichana mwenye mvutio , pili hili ndilo tatizo linanikosesha usingizi, ni tumbo lake kubwa sana na hajawahi kupata mtoto anapotowa nguo tumbo linaondowa hamu yote nafanya nae mapenzi ile basi tu nifanye tu lina mapeto,nimefika mahali siwezi tena kuendelea nae halafu sitaki kumuonesha kuwa ni tumbo lake ndilo lililonifanya niachane nae nashindwa sijuwi nini nifanye sitaki kumtumilia na kumkimbia, ninachokuombeni hapa nisaidieni nifanye njia gani za kistarabu niachane nae bila ya kumumiza moyoni .
 
sasa wewe kijana kwani mwanzoni wakati inaanza kumtongoza hukuliona hilo tumbo jamani....wewe u didnt do ur homeqork bana. ..inaelekea wewe ulikuwa wakata kiu kwa huyo dada

njia yoyote ile utakayotumia lazima ataumia tuu so wee kuwa kweli tuu hapo mwambie naona this relationship aint working
 
Hiyo description ya tumbo umenikumbusha wadada wa Kimexico. Wale sijui huwaga inakuwaje tu...lazima itakuwa ni zile tacos na chalupas wanazokula.

Unakuta kakunyukia skinny jeans na mtumbo huo unaning'inia utadhani mbuzi mjamzito halafu mwenyewe hajali wala nini.

Kuhusu huyo wako, kama ni mvivu kufanya mazoezi na kama hana motivation yoyote ile anaweza akaangalia utaratibu wa gastric bypass surgery au liposuction.

Ila hilo wigi duuuh!! Hayo madubwasha mi siyazimii kabisa.:A S 13:
 
NN, hivi gastric bypass na liposuction mwananyamala hosp wanafanya? Wanapokea kadi za NHIF? Manake kila mtu ananiuliza when is the baby due!
 
Hahah...Muggie karibu mazoezini. Mi nlikuwa na tumbo la Kepten Komba hivi sasa nashindana na Michael Schumacher.
 
NN, hivi gastric bypass na liposuction mwananyamala hosp wanafanya? Wanapokea kadi za NHIF? Manake kila mtu ananiuliza when is the baby due!

Mugglin,it is still very morning but you made my day already.Fanya mazoezi bwana,ni kazi kupunguza tumbo lakini with determination,you can do it.Hizo njia nyingine unazosema zitakutia ubovu tu in long run.Nitafute private nione kama naweza saidia
 
ahahaaaa dah dah
wanaume mna mambo?
huyo dada mshauri afanye mazoezi tumbo litaondoka tu
kuhusu wigi? hivi mdada miaka 28 unavaa wigi la nini ? ukifika 60 utavaa nini?
kuhusu mvuto mimi siwezi kuongea kwa kweli
personaly mimi niko natural sana uliza hata wanaonijua humu huwa sifake ,nasukatu rasta za kawaida au nachana nywele zangu ,weavings au wigs mi situmii.
nadhani ni somo zuri pia kwa wadada waache kujiremba too much.ni vema mwanaume from the first sight akuonejinsi ulivo na avutiwe na wewe ivoivo jinsi ulivo hata kama una chongo amakengeza

sio unajua una chongo unavaa miwani daily siku ukijakuvua ndo hayo hayo yaliyomtokea mdau.
Unakuta msichana kapata kibuzi chake kimemiuta mahali dahatalala saluni siku mbili,scrub hadi kwenye vodacom sijui ni ya nini?
Mimi nipo jinsi nilivo hapo kwenye avatar ,mwenyekunipenda anipende hivohivo
 
uwiiii....hivi si nitaachwa mimi....hili tumbo langu liko kiunoni....mama weeee......babu unafanyia wapi mazoezi....?
Hehehehe... karibu nikusaidie. Niangalie mwenzio nilivyokata likitambi
DanielAdongooftheVodacomBulls.jpg
 
uwiiii....hivi si nitaachwa mimi....hili tumbo langu liko kiunoni....mama weeee......babu unafanyia wapi mazoezi....?
mzizi mkavu alisema kunywa maji ya vuguvugu asubuhi lita moja weka asali vijiko vitatu kwa wiki sita
nipo kwenye dozi mimi
sitaki kuazishiwa thread
 
Hiyo description ya tumbo umenikumbusha wadada wa Kimexico. Wale sijui huwaga inakuwaje tu...lazima itakuwa ni zile tacos na chalupas wanazokula.

Unakuta kakunyukia skinny jeans na mtumbo huo unaning'inia utadhani mbuzi mjamzito halafu mwenyewe hajali wala nini.

Kuhusu huyo wako, kama ni mvivu kufanya mazoezi na kama hana motivation yoyote ile anaweza akaangalia utaratibu wa gastric bypass surgery au liposuction.

Ila hilo wigi duuuh!! Hayo madubwasha mi siyazimii kabisa.:A S 13:
Hahahaha!!! NN umenikumbusha kuna kitongoji kimoja states wanaishi wamexico kibao...halafu hizo tacos na chalupas hapo ndio kwao umewafikisha...
 
Imetokezea kupendana na msichana mmoja Umri wake unakaribia miaka 28 ,ni aina ya msichana unapokuwa nae utapenda umpeleke kukutana na wazazi au marafiki zako, lakini kuna vitu viwili vinanitatiza na kunipa tabu,kwanza nimekuja kumbabaini anavaa wigi anapoliondowa anaonekana sio yule msichana mwenye mvutio , pili hili ndilo tatizo linanikosesha usingizi, ni tumbo lake kubwa sana na hajawahi kupata mtoto anapotowa nguo tumbo linaondowa hamu yote nafanya nae mapenzi ile basi tu nifanye tu lina mapeto,nimefika mahali siwezi tena kuendelea nae halafu sitaki kumuonesha kuwa ni tumbo lake ndilo lililonifanya niachane nae nashindwa sijuwi nini nifanye sitaki kumtumilia na kumkimbia, ninachokuombeni hapa nisaidieni nifanye njia gani za kistarabu niachane nae bila ya kumumiza moyoni .
Kuhusiana na hilo wigi sijui aisee...ila the rest you can take care of it mpelekee Gym kwani kuachana nae ndio solution..
 
mimi naona wigi ndo tatizo kubwa hapa,mpeni maushauri ,plastic surgery haitosaidia kweli? mbona michael jackson alifanywa mzungu bwana?
 
mzizi mkavu alisema kunywa maji ya vuguvugu asubuhi lita moja weka asali vijiko vitatu kwa wiki sita
nipo kwenye dozi mimi
sitaki kuazishiwa thread

Smile wewe....kama ulikuwa hunijui....huyu ndio mimi sasa.....niambie naanzia wapi hapa.....?
spongebob_fat.jpg

Similar Discussions

Back
Top Bottom