nisaidieni jamani,kasimu kangu kamenakataa....

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2011
Posts
3,402
Reaction score
944
jamani msaada jamani

simu yangu si sumsung c3322 ninajaribu ku-download opera inakataa,nimejaribu hata uc broweser nyo imegoma msaada jamani hadi nakosa maihondo ya jf
 
inakataaje? inatoa error gan?
hizi sim za samsung zina matatizo sana mi yangu haikubali kuinstall app yoyote. et inasema "Download unavailabe. Downloade JAR are invalid"
 
Download link ya opera mini inasumbua sana siku hizi kwa kweli. Ina search bila kikomo au unaambiwa 'server busy try again' Lakini najua ni tatizo la muda tu itabidi uvumilie huku ukijaribu mara kwa mara. Kuhusu uc browser sijui lolote kwa sababu sijajaribu. Labda jaribu pia bolt browser.
 
hivyohivyo kama yako,...dah! nakosa sana mavitu we acha tu,roho inaumaje??
 
Download link ya opera mini inasumbua sana siku hizi kwa kweli. Ina search bila kikomo au unaambiwa 'server busy try again' Lakini najua ni tatizo la muda tu itabidi uvumilie huku ukijaribu mara kwa mara. Kuhusu uc browser sijui lolote kwa sababu sijajaribu. Labda jaribu pia bolt browser.
yaani nimesha hangaika we acha tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom