Nisaidieni jamani hii nyumba ndogo siielewi.

Nduka Original

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,012
816
Nimepata kanyumba ndogo kanafanya kwenye hoteli fulani ya kitalii hapa mjini. Kweli ni mzuri na ananipa penzi vizuri sana I really enjoy (Pls note that I love my wife). Ila nina shida moja tu na huyu dada kwani simuamini kwa 100% with the following reasons.

1. Mpaka sasa nimekaa nae kwa miezi mitatu ila sijawahi kuingia kwake ila naishiaga getini nam drop/mpick wakati anaishi mwenyewe.
2. Simu yake huwa hataki niiguse kabisa lakini yangu anaweza ishika 24/7.
3. Kuna wakati nikimrudisha home kwake ukipiga simu haipatikani kabisa mpaka kesho yake ukimuuliza anakwambia iliisha charge yaani masaa 12 unacharge simu utafikiri inatumia battery ya caterpillar.

Kweli kinacho niuma mimi nampenda sana na nina mjali kwa mahitaji yake yoteeeeeeeeeeeee. Akitaka club, shopping, lot of outing etc.

Naombeni ushauri wenu jamani kwani mwenzenu roho inaniuma sana.
 
Yeye ni nyumba ndogo yako na wewe ni yake. Kama ambavyo ukirudi nyumbani unafocus kumdanganya mke wako kwa makombo ya penzi ndivyo nae anavyofanya kwa wake.

Sasa dada Lizzy nipe solution!!! Nimesha invest vya kutosha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom