Nisaidieni hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidieni hili

Discussion in 'JF Doctor' started by Donnie Charlie, Jun 7, 2011.

 1. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  Nina mtoto wa kiume umri ni miaka mitatu na nusu, katika siku tatu mfululizo inapofika saa 6 usiku anashtuka sana anasema ameona majongoo kitandani yanatembea wakati mwingine anasema ameyaona ukutani na kama taa imezimwa ndio kabisa anashtuka sana na kulia, nilijaribu jana kumwamisha kutoka kwa mama yake mdogo nikawa na ninalala pamoja na mama yake lakini hivi ninavyoandika sasa inaingia siku ya tatu mfululizo akiwa analalamika hasa inapofika saa usiku. Kwa mchana hii hali haipo hata akilala mwenyewe na Inafika wakati anaangalia kwenye shuka kama mtu anayetafuta punje ya mchanga/mbegu chini na ni hofu inayompelekea hadi anaomba kukumbatiwa.
   
 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,158
  Trophy Points: 280
  Mpe dawa ya minyoo, I am not joking.
   
 3. b

  blackpearl Member

  #3
  Jun 7, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  'Visual hallucinations'....mtafute daktari wa psychiatry apate historia yake vizuri ili ajue tatizo la msingi
   
 4. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,079
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  with all the do respect blackpearl sidhani 'Visual hallucinations' is a right word kwa mtoto mdogo wa miaka 3 ,

  nikirudi kwa mzazi aliye uliza hili swali mwanao anakitu twaita Night terrors

  Night terrors are a common sleep problem among children. By some estimates, about 15% of younger children have occasional night terrors. Although most common in children between the ages of 2 and 6 years, they can occur at almost any age.

  Although usually considered to be normal or benign, they are often very scary and distressing to parents who often overreact, especially during a child's first night terror.

  Children who have night terrors are usually described as 'bolting upright' with their eyes wide open, with a look of fear and panic, and letting out a 'blood curdling scream'. These kids will usually also be sweating, breathing fast and have a rapid heart rate (autonomic signs). And although it will seem like they are awake, during a night terror, children will appear confused, will not be consolable and won't recognize you

  Typical night terrors last about 5 to 30 minutes and afterwards, children usually return to a regular sleep. If you are able to wake your child up during a night terror, he is likely to become scared and agitated, mostly because of your own reaction to the night terror, especially if you were shaking or yelling at him to wake up. Instead of trying to wake up a child having a night terror, it is usually better to just make sure he is safe, comfort him if you can, and help him return to sleep once it is over.

  No treatment is usually necessary for routine night terrors. Since they are often triggered in children who are overtired, sticking to a good bedtime routine and making sure your child is getting enough rest can help to prevent them.

  Pia it might help kama ukimuamsha usiku before the time that he usually has a night terror. hii inaweza kusaidia to interrupt or alter the sleep cycle and prevent night terrors from occurring (it also works for sleepwalking).

  Pia jaribu siku moja kulala naye huku mmewashaa taa just for one night & see kama ataamka tena!  Poleni sana   
 5. T

  Tsidekenu Senior Member

  #5
  Jun 7, 2011
  Joined: May 7, 2009
  Messages: 141
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Ndugu,

  That is spiritual problem na wahi kanisani kwenye maombi, ni issue ambayo inaweza kuleta effect kwa mtoto kama usipoishughulikia. Kwa ushauri wangu ombeni sana.
   
 6. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Pole sana ni tatizo common kwa watoto akikua ataacha so hamna dawa ila unaweza kumsaidia kwa kufanya hivi

  -Anapo ogopa na kupanic usimgombeze au kumsema,let him face his fears kama ni chini ya uvungu nenda naye ukaangalie na muhakikishe kuwa hakuna kitu ila ni uwoga tu.

  -Mwambie kuwa hata wewe ulivyokuwa mdogo ulikuwa unaogopa kama yeye ila ukaja kugundua kuwa hakuna kitu kama hicho ataanza kujenga imani kuwa hamna kitu kama hicho

  -Usimruhusu aangalie picha za kutisha maaana watoto siku hizi wanaangalia sana muvi za kutisha na zinawapa tabu wakati wakulala, hakikisha kuwa unafahamu na kufatilia vipindi na muvi anazo angalia mtoto.

  -Angalia kundi au marafiki anaocheza nao pengine wamemzidi umri na wao huko wanako kaa wanaangalia muvi za kutisha na kusifia mambo ya zombie so watoto wanahadithiana na kutishana.

  -Wakati wa kulala ni vizuri ukamwambia kuwa anasali,hii itamjengea imani na kuamini kuwa mungu anamlinda,
  -watoto wana imani kubwa sana kama anaamini majongoo yapo basi ukimpa kitu kama ROZARI,BIBLIA au msaafu aka quran akawa analala nayo itamuongezea imani ya kuwa yupo protected

  Nimeeleza hayo kwa sababu mimi nilikuwa naogopa sana wakati nipo mtoto na tatizo ni kwamba wazazi walikuwa wakali badala ya kuni assure kuwa hakuna kitu kibaya ukiwa ndani ya nyumba au ukilala wao walikuwa wanatandika bakora na kukukaripia hivyo kuongeza uoga
  worry out akikua ataacha kama mimi

  I HOPE THIS WILL HELP YOU
  Cheers!!!
   
 7. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  nawashukuru wote hapo juu kwa ujumla wenu na nitayafanyia kazi maamuzi yenu na nayathamini pia hapa natumia mobile na inakuwa kazi kidogo kumjibu mmoja mmoja ila kwa kuwasaidia zaidi baadhi yenu ni kuwa hali hii humtokea anapokuwa macho yani usingizi umekata lakini akishalala hasumbui wala kushtuka kabisa.
   
 8. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,122
  Likes Received: 6,606
  Trophy Points: 280
  Wazazi munashtuka mnamwongezea mtoto hofu. wakati wa kulala mwombeni MUNGU then mwekee kipande cha mtaa kwenye mto anaolalia :smiling:
   
 9. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,079
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  mkuu samahani nimekukumbuka leo baada ya kupata mgonjwa out patient .. ni mtoto wa miaka miwili .. ana ukosefu wa vitamin D , nilitaka kuongezea point kwamba vitamin D deficiaency esp. kwa watoto umri kuanzia 3months - 2years .. mostly in the early stages of 2years of life wanapata night terrors na sababu kubwa ni vitamin D deficiency .

  moja ya sign kubwa ya vitamin D deficiency kwa watoto wenye umri kama huo ni pressure alopecia "nywele zinakosa kuota mahali fulani" kipindi nipo tz nilikuwa nawaona watoto wa aina hii angalia hii picha

  Picture1.jpg

  My point tatizo la mtoto could be from Diet ... "ukosefu wa vitamin D"

  ugua pole once again


   
 10. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  Asante kwa mara nyingine na nitafuatilia hili pia tatizo bado lipo ingawa si kwa kiasi kikubwa kama mwanzo.
   
 11. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #11
  Jun 20, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Mpeleke pia kanisani kwa maombezi, ni muhimu!
   
Loading...