Nisaidien kutofautisha computer enginering,IT and computer science

Fungakazi

Senior Member
Jan 11, 2012
174
127
WanaJF kuna hivi vitu vinanchanganya mimi nnapenda Computer engineering, ila kuna hii wanaita Computer science je ni nini tofauti zake? Na pia kuna kitu wanakiita Electrical and computer system eng. je hii nayo ni tofaut na computer eng.? Naomba pia kujua tofauti ya compt eng. na IT ntashukuru kwa msaada wenu.
 
Nakushauri uchukue prospectus ya chuo au vyuo vinavyotoa hizo courses then upitie course moja moja uone nini kinafundishwa. Programme za vyuo zinaweza zikawa na tittle moja lakini content tofauti.

Wakati mwingine vyuo huweka majina tofauti tofauti hata kama course contents is almost the same, ili kuvutia biashara.
 
Computer eng. Hii sehemu kubwa inahusika na hardware ingawa cku hizi inachakachuliwa inaingia kwenye Telcom. IT hili ni jina tu,kimsingi haikutakiwa kuwepo kozi ya IT lakini kibiashara leo kuna hadi cheti cha IT. Unaposema IT hapa unamaanisha masuala yote yanayohusu teknolojia ya habari(computer based courses),kuhusu computer science hawa wapo kama saidia fundi maana hawaja specialize sehemu moja,mara Networking mara software mara hardware kifupi nikuwa wanagusa kila sehemu kidogo kidogo...haya maelezo ni kwamtazamo wa hali halisi ilivyo hapa kwenu tz...ungekuwa unataka ushauri wa usome kozi ipi kati ya hizo ningekushauri usome IT kwa sababu ina sound vzr. Lakini kati ya ulizotaja hakuna kozi bora kibongo labda mbele...kidogo labda software eng. Inayopigwa Udom.Maana naona madogo wanapiga vitu vikali kama android app
 
Computer science ni saidia fundi?
Sikubaliani na wewe. Nikipata muda nitakuja kutoa ufafanuzi.
 
nilisearch defintion ya computer eng nikaona hii,
Computer
engineering, also
called computer
systems engineering,
is a discipline that
integrates several fields
of electrical engineering
and computer science
required to develop

je hii ni sawa?
 
Back
Top Bottom