Mzee wa Zamani
Member
- May 6, 2026
- 17
- 33
- Thread starter
- #21
Yapo yakutosha kabisaUna madini? Au unatuongezea member wa hovyo kama kina holoholo?
Yapo yakutosha kabisaUna madini? Au unatuongezea member wa hovyo kama kina holoholo?
Akilipa ushuru wa kiingilio, aje kwangu alipie hisanjoo ulipe ushuru wa kiingilio
"unanizingizia"Unanizingizia
Karibu sana mgeni wa kienyeji.Habari zenu, naomba mnipokee. Natumai nitajifunza mengi sana katika jukwaa hili kubwa sana
Yapo yakutosha kaUna madini? Au unatuongezea member wa hovyo kama kina holoholo?
Asante sanaKaribu sana mkuu
Asante sanaKaribu sana mgeni wa kienyeji.
Typing error mkuu,,, usinitoe macho tafadhali...."unanizingizia"
Hivi dogo kwa nini umeikimbia I'd yako ya zamani? (Holoholo).Una madini? Au unatuongezea member wa hovyo kama kina holoholo?
kuna misumali kule sio poa.Hivi dogo kwa nini umeikimbia I'd yako ya zamani? (Holoholo).
Dah, pole mkuu, ndiyo JF ilivyo.kuna misumali kule sio poa.