Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,887 Oct 14, 2012 #21 hujafika tu?....siku nyingine upande Sharon....sio uje ukatwe na kitu chenye ncha kali chenye kutu humo kwenye basi tuanze kukutibia pepo punda.....
hujafika tu?....siku nyingine upande Sharon....sio uje ukatwe na kitu chenye ncha kali chenye kutu humo kwenye basi tuanze kukutibia pepo punda.....
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,343 Reaction score 111,599 Oct 14, 2012 #22 Preta said: hujafika tu?....siku nyingine upande Sharon....sio uje ukatwe na kitu chenye ncha kali chenye kutu humo kwenye basi tuanze kukutibia pepo punda..... Click to expand... halafu basi la Mtei limetobokatoboka chini kiasi kwamba ukiwa ndani unaona lami...
Preta said: hujafika tu?....siku nyingine upande Sharon....sio uje ukatwe na kitu chenye ncha kali chenye kutu humo kwenye basi tuanze kukutibia pepo punda..... Click to expand... halafu basi la Mtei limetobokatoboka chini kiasi kwamba ukiwa ndani unaona lami...
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,887 Oct 14, 2012 #23 watu8 said: halafu basi la Mtei limetobokatoboka chini kiasi kwamba ukiwa ndani unaona lami... Click to expand... hapo sasa ndio pepo punda factory.....
watu8 said: halafu basi la Mtei limetobokatoboka chini kiasi kwamba ukiwa ndani unaona lami... Click to expand... hapo sasa ndio pepo punda factory.....