Dreamliner
JF-Expert Member
- Jan 17, 2010
- 2,034
- 213
Sijajua wakati unafanya hayo ulikuwa unawaza nini hatima yake ...umeyakoroga
Cha msingi hapo ni wewe na moyo wako ndio mwamuzi tunaweza kuongea mengi na kuandika page zaidi ya kumi mwisho wa siku uamuzi wako ndio muhimu katika future yako.
Katika uchaguzi wako usiangalie umri kuna watu wanajipenda sana unamkuta ana 40 yrs ukadhani 30 ni mambo ya kujimake tu.
Ila hako katoto ka 26 kanakotaka mimba kabla ya ndoa kana hatari kweli.
1. Ni dhambi kwa mungu
2. Kakibeba hiyo mimba kisha usikaoe itakuwaje ?
Kuwa muwazi na mkweli kwa hao kina dada
Piga magoti mshirikishe mungu wako jibu utalipata .....
Kweli baada ya kupata b/fast umemwaga pwenti tupu! Nime DO the needful!
Ushauri wa bure Mkulu, Oa unaefikiri mnapendana nae kwa dhati... Ila ANGALIA WENYEWE WALISEMA, MCHAGUA NAZI HUPATA KOROMA..