Mie nilioa nikiwa na 45 na mke wangu 42 - She is still looking young 10 years later!
Hapo kaka nakupa hongera sana maana mlikutana wa rika moja, ndio maana mmeweza kutunzana vizuri hadi mnaonekana kama ulivyosema. Sasa hebu imagine mkeo angekuwa 51 ulipokuwa 45 ingekuwa vipi? Mlivyooana nyie wa rika moja ni swadakta kabisa