Nipo njia panda

Sijajua wakati unafanya hayo ulikuwa unawaza nini hatima yake ...umeyakoroga
Cha msingi hapo ni wewe na moyo wako ndio mwamuzi tunaweza kuongea mengi na kuandika page zaidi ya kumi mwisho wa siku uamuzi wako ndio muhimu katika future yako.
Katika uchaguzi wako usiangalie umri kuna watu wanajipenda sana unamkuta ana 40 yrs ukadhani 30 ni mambo ya kujimake tu.
Ila hako katoto ka 26 kanakotaka mimba kabla ya ndoa kana hatari kweli.
1. Ni dhambi kwa mungu
2. Kakibeba hiyo mimba kisha usikaoe itakuwaje ?
Kuwa muwazi na mkweli kwa hao kina dada
Piga magoti mshirikishe mungu wako jibu utalipata .....

Kweli baada ya kupata b/fast umemwaga pwenti tupu! Nime DO the needful!
Ushauri wa bure Mkulu, Oa unaefikiri mnapendana nae kwa dhati... Ila ANGALIA WENYEWE WALISEMA, MCHAGUA NAZI HUPATA KOROMA..
 
jamani naona peke yangu au hii kitu iko kinyume nyume?!

sioni jamaa alipochukua jukumu la kufika hapo alipo .................lawama zote kazivurumisha kwa PENZI.

ati alipendana na wa kwanza, kisha akampenda wa pili........

sidhani kama wewe uko tayari kuoa ....

Akitokea wa tatu na wa nne na watano.. Atawapenda wote bila kuwaeleza msimamo alio nao.. Wapi Kiongozi TEAMO?
 
Kweli baada ya kupata b/fast umemwaga pwenti tupu! Nime DO the needful!
Ushauri wa bure Mkulu, Oa unaefikiri mnapendana nae kwa dhati... Ila ANGALIA WENYEWE WALISEMA, MCHAGUA NAZI HUPATA KOROMA..

Ni kweli Dreanliner . huyu jamaa hapo alipo atakuwa anazungusha kichwa majibu hayoneka kishaharibu..
lakini ni simple sana ukweli wake ndio utamuokoa
 
dreamliner ....huyu jamaa mzugaji hana wala hajui mapenzi.

hapo alipopata namba 2 alikuwa akipigiwa simu na namba 1 kila siku na asimuambie hata mmoja wao kuhusu kuwapo kwa mwenziwe.............lakini bado kwenye post yake hajajitaja kama ana makosa!

ningeona bora kwa hao wanawake wote wawili kama wasingeolewa na mwanamme huyu.......................anaonekana hana msimamo, na tabia yake hii (asiyoijutia) inaweza kuwaletea matatizo makubwa zaidi baadae

ushauri: usimuoe hata mmoja ..............................learn to grow up and take responsibilities kwanza
 
Sasa Kaka Zimbo nikuulize wewe uko tayari kuoa??kwa umri wako huo si mdogo lakini uko tayari kuoa maana hata hiyo shule hujamaliza ukaja bongo kuchomwa jua kidogo mpaka upate kazi (unless una connections) mambo yakae sawa???
 
dreamliner ....huyu jamaa mzugaji hana wala hajui mapenzi.

hapo alipopata namba 2 alikuwa akipigiwa simu na namba 1 kila siku na asimuambie hata mmoja wao kuhusu kuwapo kwa mwenziwe.............lakini bado kwenye post yake hajajitaja kama ana makosa!

ningeona bora kwa hao wanawake wote wawili kama wasingeolewa na mwanamme huyu.......................anaonekana hana msimamo, na tabia yake hii (asiyoijutia) inaweza kuwaletea matatizo makubwa zaidi baadae

ushauri: usimuoe hata mmoja ..............................learn to grow up and take responsibilities kwanza

Hapa (red) Mkuu Gaijin umemaliza kila kitu..
 
Sijajua wakati unafanya hayo ulikuwa unawaza nini hatima yake ...umeyakoroga
Cha msingi hapo ni wewe na moyo wako ndio mwamuzi tunaweza kuongea mengi na kuandika page zaidi ya kumi mwisho wa siku uamuzi wako ndio muhimu katika future yako.
Katika uchaguzi wako usiangalie umri kuna watu wanajipenda sana unamkuta ana 40 yrs ukadhani 30 ni mambo ya kujimake tu.
Ila hako katoto ka 26 kanakotaka mimba kabla ya ndoa kana hatari kweli.
1. Ni dhambi kwa mungu
2. Kakibeba hiyo mimba kisha usikaoe itakuwaje ?
Kuwa muwazi na mkweli kwa hao kina dada
Piga magoti mshirikishe mungu wako jibu utalipata .....

Mamaaaa FL1 naona tuna muenokano mpya dada yangu. Lovely stuff i like it
 
kumekucha tena na nani nimuoe!!!

nyie wanaume wa hivi kw akweli mnanishangaza sana......huwezi kutaka kote kote!!! hapo ni lazima uamue unamtaka nani atakayekifaa kulingana navigezo vyako vya nani unataka awe your life time companion.

why did you get involved na mwanamke mwingine in the first place knowingly kuwa una mtu wako ambaye mmeenda a step further??
kaka huna msimamo na wanaume/wanawake wa aina yako ni hatari sana.
 
dreamliner ....huyu jamaa mzugaji hana wala hajui mapenzi.

hapo alipopata namba 2 alikuwa akipigiwa simu na namba 1 kila siku na asimuambie hata mmoja wao kuhusu kuwapo kwa mwenziwe.............lakini bado kwenye post yake hajajitaja kama ana makosa!

ningeona bora kwa hao wanawake wote wawili kama wasingeolewa na mwanamme huyu.......................anaonekana hana msimamo, na tabia yake hii (asiyoijutia) inaweza kuwaletea matatizo makubwa zaidi baadae

ushauri: usimuoe hata mmoja ..............................learn to grow up and take responsibilities kwanza
Napenda sana point zako.Siku hizi uko juu kama muashoki!
 
dreamliner ....huyu jamaa mzugaji hana wala hajui mapenzi.

hapo alipopata namba 2 alikuwa akipigiwa simu na namba 1 kila siku na asimuambie hata mmoja wao kuhusu kuwapo kwa mwenziwe.............lakini bado kwenye post yake hajajitaja kama ana makosa!

ningeona bora kwa hao wanawake wote wawili kama wasingeolewa na mwanamme huyu.......................anaonekana hana msimamo, na tabia yake hii (asiyoijutia) inaweza kuwaletea matatizo makubwa zaidi baadae

ushauri: usimuoe hata mmoja ..............................learn to grow up and take responsibilities kwanza[/QUOTE]

sawa kabisa!!
 
sikuhivi invisible kitufe mara kinayeyuka mara kinarudi ...........

charity mie hasa wanaume waso msimamo huwa wananiudhi vibaya sana.....................na hasa wanapofikiria wanawake wako desperate kiasi cha kuwa WANATAKA tu kuolewa na mwanamme yoyote.

si hasha akiwaambia alichokifanya wote wakamkimbia.
 
G kwanza hawastahili kabisa ho wadada wa watu....
na sisi hii desparation inatugharimu big time!!!
 
Bht ......unaweza ukamuona mwanamke wa maana; tabia nzuri, sura ya kuridhisha, body ndo usiseme, kazi ya mshahara wa kutosha lkn anaolewa na mwanamme mzembe kwa kuwa tu mwanamke keshatimia 30 hajatokea mtu!...
 
Naona unajichanganya mwenyewe tu. Kwanza hali ya kuwa na wachumba wawili hiyo ni utapeli, haipo. Hao si wachumba. Hata wanaooa wake wengi huwa hakuna wachumba kadhaa kwa mpigo, labda huelewi maana ya hilo neno 'mchumba'.

Pili, kwa jinsi ulivyowaelezea hao watu, kama ni watembeleaji wa mitandao kama huu (which is quite possible), wamekusoma tayari and you are in for it. Kwa kifupi wewe ni kicheche tu, sasa ni juu ya hao wadada kwa kuwa wameshakujua, ni juu yao kuchukua uamuzi. Kwa hiyo hili waachie wao.
 
Kwanza hukufanya vyema kuwa na uhusiano na mtu mwingine ilhali umeacha mpz wako Tz au bora unegesema ukweli kuwa muwe company ila una mtu wako..
Mwamuzi wa mwisho ni wewe kwenye jambo hili,uwe na hekma ya kuchagua mana upo njia panda..dada wa miaka 34 ningeona uwe nae,ulianza kuwa nae na unampenda japo siyo sana kama wa yule mwenye 26..miaka siyo kitu,labda tu wewe kama umempenda zaidi mwingine..
Tusipende kuwapa watu matumaini ya kuwaoa/olewa wakati ni uongo,unazibia wengine bahati zao..Maisha yenyewe mafupi!

Wa kuolewa ni huyo wa 26 bana, unataka jamaa aoe ajuza? Au nawe Belinda umeshajichelewea zako huko unatetea wazee wenzio ili hiyo kitu ionekane kawaida? No way. Huyo wa 34 asubiri wazee wenzie. Lakini jamaa ni kicheche siyo siri! Ni tabia mbaya hii aliyofanya.
 
Nimeitoa hii hukoooooooooo na hapa nitairudia!

For those that are looking out, take note!

For those that are married, just a reminder why u married whom u Married!

A relationships coach lays out his 5 golden rules for evaluating the prospects of long-term marital success.

When it comes to making the decision about choosing a life partner, no one wants to make a
mistake. Yet, with a divorce rate of close to 50 percent, it appears that many are making serious mistakes in their approach to finding Mr. /Ms. Right!

If you ask most couples who are engaged why they're getting married, they'll say:

"We're in love." I believe this is the #1 mistake people make when they date. Choosing a life partner should never be based on love.

Though this may sound not politically correct, there's a profound truth here. Love is not the basis for getting married. Rather, love is The result of a good marriage.

When the other ingredients are right, then the love will come. Let me say it again:

You can't build a lifetime relationship on love alone You need a lot more. Here are
five questions you must ask yourself if you're serious about finding and keeping a life partner.

QUESTION #1:
Do we share a common life purpose?

Why is this so important? Let me put it this way: If you're married for 20 or 30 years, that's a long time to live with someone. What do you plan to do with each other all that time? Travel, eat and jog together? You need to share something deeper and more meaningful. You
need a common life purpose. Two things can happen in a marriage. You can grow together, or you can grow apart. 50 percent of the people out there are growing apart. To make a marriage work, you need to know what you want out of life bottom line-and marry someone who wants the same thing.

QUESTION #2:
Do I feel safe expressing my feelings and thoughts with this person?

This question goes to the core of the quality of your relationship. Feeling safe means you can communicate openly with this person. The Basis of having good communication is trust - i.e. trust that I won't Get "punished" or hurt for expressing my honest thoughts and feelings
A colleague of mine defines an abusive person as someone with whom you feel afraid to express your thoughts and feelings. Be honest with yourself on this one. Make sure you feel emotionally safe with the person you plan to marry.

QUESTION #3:
Is he/she a munch?

A munch is someone who is a refined and sensitive person. How can you test? Here are some suggestions. Do they work on personal growth on a regular basis? Are they serious about improving themselves? A teacher of mine defines a good person as "someone who is always striving to be good and do the right thing." So ask about your significant other: What do they do with their time? Is this person materialistic? Usually a materialistic person is not someone whose top priority is character refinement.

There are essentially two types of people in the world: People who are Dedicated to personal growth and people who are dedicated to seeking Comfort.

Someone whose goal in life is to be comfortable will put personal comfort ahead of doing the right thing. You need to know that before walking down the aisle.

QUESTION #4:
How does he/she treat other people?

The one most important thing that makes any relationship work is the ability to give. By giving, we mean the ability to give another person pleasure. Ask: Is this someone who enjoys giving pleasure to others or are they wrapped up in themselves and self- absorbed? To measure this, think about the following: How do they treat people whom they do not have to
be nice to, such as a waiters, bus boy, taxi driver, etc. How do they treat parents and siblings? Do they have gratitude and appreciation? If they don't have gratitude for the people who have given them everything, who are you--who can't do nearly as much for them! Do
they gossip and speak badly about others? Someone who gossips cannot be someone who loves others. You can be sure that someone who treats others poorly will eventually treat you poorly as well.

QUESTION #5:
Is there anything I'm hoping to change about this person after we're married?

Too many people make the mistake of marrying someone with the intention of trying to "improve" them after they're married. As a colleague of mine puts it, "You can probably expect someone to change after marriage ...for the worse!"

If you cannot fully accept this person the way they are now, then you are not ready to marry them.

In conclusion, dating doesn't have to be difficult and treacherous. The key is to try leading a little more with your head and less with your heart. It pays to be as objective as possible when you are dating, to be sure to ask questions that will help you get to the key issues.

Falling in love is a great feeling, but when you wake up with a ring on your finger, you don't want to find yourself in trouble because you didn't do your homework.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom