Nipo njia panda

inasikitisha.......mi chichemi wala chiongei!!! hivi hili soko la EA si limegusa hata sekta hii??

Soko limeigusa sekta hii kwa sana, mimi hapa nitaelekeza juhudi zangu pande za Rwanda huko.....Kigali, Butare, Gitarama kitaeleweka tu!
 
Mafataki utawajua tu! una uhakika gani kuwa hawa wadada wanaotoa ushauri ni wazee waliojichelewesha.
Uzuri ni kwamba hakuna mtu atakayeishi maisha ya mwenzie.Endeleeni na 'ujana' wa kipumbavu lakini apandacho mtu ndicho atakachovuna!
What goes around comes around!
UUjana ni zamu fulani, muda ukipita haurudi kwa hiyo kila mtu anapaswa autumie wa kwake vizuri. Sasa kama mtu alitumia ujana wake anavyojua yeye hadi sasa kawa mama wa miaka 34 anataka kumng'ang'ania kijana wa watu hiyo kwa kweli siyo fair. Yaani yeye ujana alitumia na nani anataka kumsukumizia mwenzie expired product?
 
Mafataki utawajua tu! una uhakika gani kuwa hawa wadada wanaotoa ushauri ni wazee waliojichelewesha.
Uzuri ni kwamba hakuna mtu atakayeishi maisha ya mwenzie.Endeleeni na 'ujana' wa kipumbavu lakini apandacho mtu ndicho atakachovuna!
What goes around comes around!
Ujana ni zamu fulani, muda ukipita haurudi kwa hiyo kila mtu anapaswa autumie wa kwake vizuri. Sasa kama mtu alitumia ujana wake anavyojua yeye hadi sasa kawa mama wa miaka 34 anataka kumng'ang'ania kijana wa watu hiyo kwa kweli siyo fair. Yaani yeye ujana alitumia na nani hadi saa hizi anataka kumsukumizia mwenzie expired product?
 
una umri gani bwana mdogo?...
naogopa sana kumshauri mtu ambae naamini atakuwa chini ya 25....!

Niko above 25, naweza kukuhakikishia hilo. Lingine ninalokuhakikishia ni kwamba sitaoa aliyenizidi umri.. Kama na mie nikipitiliza umri basi nikipata mzee mwenzangu itakuwa halali lakini, ila kwa sasa ajuza no!
 
halafu mie ckujua 34 yrs tayari mtu umekuwa ajuza, mbona ninafanya kazi na wakaka wana 34 n above na hawajaoa nao ni maajuza au ina apply kwa wanawake tu?

Mzee wa kike huitwa ajuza, kwa hiyo hapo una jibu kuhusu wanaume. Halafu wanawake ndiyo wanayo shelf-life au 'use by date' ya mapema kuliko wanaume. Usishangae huyo mwanaume unaefanya nae kazi ana miaka 34 anaweza kuoa msichana wa 25 na bado ikawa poa tu, tena baada ya miaka 3 tu unakuta wanalingana kabisa. Mie kaka yangu ameoa 4 years ago akiwa 36 na shemeji alikuwa 27, lakini huwezi amini ukiwaona leo wanalingana kabisa kama age-mates! No kuoa ajuza, big no!
 
Zimbo, pole sana kwa sintofahamu hii.

Umri (kwa watu wengi) na tabia vyote vina matter sana linapokuja suala la kuoa au kuolewa. Usiingie kwenye ndoa kwa ajili ya kumridhisha mtu fulani...wa kwanza kuridhishwa inapaswa kuwa nafsi yako na wengine ndio wafuatie. Jaribu kutulia ili ufanye maamuzi yaliyo bora zaidi. Kwanza sio lazima uoe mmoja wapo kati ya hao wawili kama bado una mashaka (umeonesha mashaka juu ya tofauti ya umri kwa huyo wa kwanza na tabia juu ya huyo wa pili!).
 
toa ushauri na si ku sahauri mtu kwa kutumia mawazo ya mtu binafsi, ikiwa umri mzuri kupata ujauzito ni miaka 35, unataka kuniambia kuwa wanawake wote wanaozaa wakiwa na umri wa miaka zaidi ya 35 wanafanya makosa? ama wanzaa mapoza? mbona wengine tumezaliwa mama zetu wakiwa ni watu wazima na hakuna athari zozote, ama wewe ulizaliwa na kibinti? na kama ulizaliwa na kibinti basi kilibakwa, maana usitake kuniambia binti aliyeolewa akiwa na miaka 26 na katika ndoa yake amebahatika kupata watoto 7 wote aliwa zaa under 38 to 35
Ajuza mwengine! Ni suala la takwimu tu ndugu yangu, unapoambiwa kuwa kuendesha gari mwendo kasi husababisha ajali, haina maana kuwa wote walioendesha mwendo kasi walipata ajali, na bado inasisitizwa mwendo kasi unaua, upo hapo? Risk ya kuzaa 'mapoza' kama unavyowaita inakuwa kubwa zaidi umri huo, sasa why take the unnecessary risk wakati unaweza kuchagua vizuri tu?

Halafu binti wa miaka 26 siyo 'kibinti' kama unavyokashifu, huyo ni mtu mzima kabisa na kwa sheria ya Tz anapiga kura na kupigiwa kura (umri wa kuchaguliwa ubunge ni miaka 21, upo hapo?). Kuanzia miaka 18 ni mtu mzima, japo wataalamu wanashauri uzazi uanzie miaka 20 ukomee miaka 35. Hapo tafuta mwenyewe median kama unajua takwimu. Hao wanaozaa katika miaka ya uzeeni na bado wakawa hakuna shida kitakwimu wanaitwa 'outliers', hawakosekani watu abnormal, lakini huwezi kutumia kigezo cha abnormality kushauri wengine.

Maajuza waolewe na wazee wenzao, period.
 
Mzee wa kike huitwa ajuza, kwa hiyo hapo una jibu kuhusu wanaume. Halafu wanawake ndiyo wanayo shelf-life au 'use by date' ya mapema kuliko wanaume. Usishangae huyo mwanaume unaefanya nae kazi ana miaka 34 anaweza kuoa msichana wa 25 na bado ikawa poa tu, tena baada ya miaka 3 tu unakuta wanalingana kabisa. Mie kaka yangu ameoa 4 years ago akiwa 36 na shemeji alikuwa 27, lakini huwezi amini ukiwaona leo wanalingana kabisa kama age-mates! No kuoa ajuza, big no!

Mie nilioa nikiwa na 45 na mke wangu 42 - She is still looking young 10 years later!
 
mtu B

huwajui waliooa vijana na wakashindwa kuzaa?

basi bora tumpe ushauri wa asioe mpaka mwanamke awe mjamzito..................na mimba ikitoka jee?
 
Mie nilioa nikiwa na 45 na mke wangu 42 - She is still looking young 10 years later!

'Looking young' is both relative and subjective!

Wakati unataka kuoa, huyo mkeo angekuwa na miaka 50 na wewe miaka hiyo 45 (kama ilivyo kwa case ya Zimbo, 29 v 34!) unadhani maamuzi yako yangebadilika?
 
dogo skia bana...naona unachanganyikiwa na issue ndogo hiyo..WANAUME WOTE TULIO-OA TUNA NYUMBA NDOGO..sasa hapo wewe fanya hivi...mpige mimba huyo mwenye presha zake za kuolewa ila USIMUOE...oa mtu mzima wako ila utamweleza baada ya kumwoa kuwa ulikuwa na kicheche m1 states ukamtia mimba ATAKUELEWA...si unajua hawa mama zetu waelevu sana...huyo akishazaa mtoto atakuwa nyumba ndogo na bi mkubwa wa 34 mzeiya anakuwa wife...au unasemaje?...

pia dogo suala la umri kwenye mahusiano ni deal sana...sahivi nimegundua watu wazima ndio wenye xperience ya kutosha ya mapenzi...i don think unataka upate mke bikra uanze kumfundisha hata tundu la kuingizia nanilihiii...unahitaji mzoefu mkiingia uwanjani anapiga mpaka shibobo, ukaaapamani, sisarrri...NAAMINI UTAKUWA UMENIELEWA KIJANA.
 
Mweeeee! ushauri mwingine huu balaa.
 
who cares umenichekesha sana lol... huyu kaka bwana hajatulia kabisa, hivi aliwezaji kuanzisha mahusiano mapya ndani ya mahusiano, hawa wote hawapendi kabisa, ni bora awafahamishe mapema kabla muda hawajapoteza sana, inaonesha wazi kabisa kila sehemu atakayoenda kuishi na akakutana na mtu anaefahamiana naye wa kike wataishia kuwa wapenzi, kwa kifupi ana tamaa na hana mapenzi ya kweli, hata anachokitaka hakijui
 
who cares

i like ur honesty though i dont agree with ur opinion................huo ndio unaitwa ushauri kabambe! hahaha

sasa utajua mwenyewe, yaani ushauri wa aina zote umepata
 
dogo skia bana...naona unachanganyikiwa na issue ndogo hiyo..WANAUME WOTE TULIO-OA TUNA NYUMBA NDOGO..sasa hapo wewe fanya hivi...mpige mimba huyo mwenye presha zake za kuolewa ila USIMUOE...oa mtu mzima wako ila utamweleza baada ya kumwoa kuwa ulikuwa na kicheche m1 states ukamtia mimba ATAKUELEWA...si unajua hawa mama zetu waelevu sana...huyo akishazaa mtoto atakuwa nyumba ndogo na bi mkubwa wa 34 mzeiya anakuwa wife...au unasemaje?...

pia dogo suala la umri kwenye mahusiano ni deal sana...sahivi nimegundua watu wazima ndio wenye xperience ya kutosha ya mapenzi...i don think unataka upate mke bikra uanze kumfundisha hata tundu la kuingizia nanilihiii...unahitaji mzoefu mkiingia uwanjani anapiga mpaka shibobo, ukaaapamani, sisarrri...NAAMINI UTAKUWA UMENIELEWA KIJANA.

nimecheka mm! na kweli who cares?
 
Mtu B hapa issue si uajuza wa one of wadanganyikaz, issu e hapa ni huyu jamaa asiye muaminifu, asiyejielewa wala kujitambua anataka nini kwenye maisha yake.
mbele ya macho yangu hustahili kumuoa hata huyo binti wa 26 yrs..........jitafakari na ujue what do you exactly want in life.
mwisho wa siku unaweza ukawakosa wote kwa taarifa yako!!!

...huu ndio Uwazi na Ukweli.
Pamoja na kwamba nilikushauri wa kwanza angekufaa zaidi, Yakupasa umueleze ulichomfanyia na umuombe radhi.
 
Back
Top Bottom