Nipo Njia Panda Naomba Mnishauri

Nipo Njia Panda Naomba Mnishauri

Mtafune tu huyo demu msela utakuja kumwelewesha baadae kilichotokea na since ameshammwaga hamna kesi kubwa. Demu mzuri kwao wanazo wewe unapigwa vibuti hela huna kwa nn usiunganishe chemistry hapo vitu vikae kwenye mstari pande zote mbili. Watoto bana hata kujiongeza mnashindwa
 
Kwangu mimi huwa simsogelei msichana ambae amembwato na mtu ninaye mjua iwe rafiki, kaka, jirani ama yeyote yule mwenye ukaribu na mimi akisham'mbato msichana ninae mjua huyo msichana siwezi kumsogelea kamwe....
Ila fanya kile ambacho moyo wako unakutuma si unajua
AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO
asante mkuu
 
We kama una nyege mtie bana, vitu vingine huwa havihitaji ushauri kama umepanga kumtia hata tukikushauri na bunduki mikononi utamla, KWANI WE UMEPANGA VIPI?
Mpaka sasa sijapanga chochote maana ni kitu ambacho sikuwa natarajia mkuu. Ndio maana naomba ushauri kwenu nisije kufanya maamuzi ambayo naweza kuja kuyajutia baadae
 
Cjui kw nn izi bahat znawatokea watu wacio zitaka alaf wanaozitaka znawapita speed y 4G.

Kwa nn lkn? Whyyyy?
 
Cjui kw nn izi bahat znawatokea watu wacio zitaka alaf wanaozitaka znawapita speed y 4G.

Kwa nn lkn? Whyyyy?


unaweza kudhani bahati kumbe bahati mbaya mkuu, ndio maana naomba ushauri kwanza
 
We kama una nyege mtie bana, vitu vingine huwa havihitaji ushauri kama umepanga kumtia hata tukikushauri na bunduki mikononi utamla, KWANI WE UMEPANGA VIPI?
Binti kauzu wewe! Hahaha
 
Sidhani kama hiyo ni relevant mkuu ila kama umesoma uzi vizuri utaelewa

Kama umesoma degree halaf unakuja kuomba ushauri kwny issue km hii sidhani kama ukiajiriwa unaweza kusovle matatizo madogo utakayokutana nayo kwny kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom