Nipo njia panda na hili jambo "UKIMWI"

khamis kilo

JF-Expert Member
May 23, 2016
1,049
1,192
Msaada wenu jamani, Je? inachukua mda gani virus vya UKIMWI kujitokeza baada ya kutoka kushiriki tendo la ndoa na mtu mwenye virusi hivyo (mtu aliyeathirika), Je? unaweza kushiriki leo tendo alafu ukapima kesho ukakutwa na maambukizi?, msaada wenu jaman

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kupima kesho ukakuta una maambukizi

Kwa ninavyojua ni kuanzia siku ya kumi na nne hadi mwezi ndio kuna possibility ya kuona matokeo yenye uhakika
Kwani umesex na muathirika lini?manake nafahamu kuna namna unaweza kuzuia maambukizi kwa kumeza ARVs(PEP) katika namna ambayo doctor atakuelezea(kwa ninavyofahamu ni dosage ya kama siku 30 hivi)

Cha kukushauri relax,usijipe mawazo sana kwasababu unaweza kupima usikutwe nao
 
Unaweza kumeza hivyo vidongo hata kama huna maambukizi bado?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimwi ni "UPUNGUFU WA KINGA MWILINI"
Ni swala la wewe kutulia na kula vizuri!
Ukimwi pia ni kama Mungu, wapo wasemao Mungu yupo, wapo wasemao Mungu hayupo!
 
Pole wahi hospital watakupima kama huna maambukizi utapewa hizo PEP. Ni ndani ya masaa 72 lakn, baada ya kutoka kushiriki na mtu aliyeathirika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HIV RNA PCR inaweza kusoma hata kuanzia siku 7 tangu kuambukizwa. Ila antibody tests ambazo ndo znatumika sehemu nyingi znasoma baada ya wiki 4 kwa uchache.
Kama una wasiwasi wahi kituo cha afya ukapate huduma ya PEP kama inakufaa.
 
Ungeuliza khs hivi virus vinavyonawisha watu mikono muda wote bila kula ningekuona una akili sana.
 
... whatever you're feeling is perfect reflection of what in the process of becoming...

If you feel you're unhealthy,u wll tend to experience that situation..
 
Back
Top Bottom