nipo ndani sasa

nipo ndani sasa

yangoma

Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
72
Reaction score
2
wandugu kwema nimeamua kujitosa ndani ya jf nina furaha sana
 
Karibu ila zingatia sheria.
 
Leo nina mzuka wa kukalibisha wageni kweli aisee!
karib bana
 
Leo nina mzuka wa kukalibisha wageni kweli aisee!
karib bana

........siyo kama wangu,........imebidi nishinde siku nzima hapa reception,.........karibu pia na wewe....................klorokwini,.......siku hizi kuna net....tena zinatolewa bureeeeeeee,.....kushney huna dili tena siyo enzi zile..........ukiwa unapeta kila kituo cha afya..........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom