Nipo kwenye hali ya kuanza kukata tamaa

Status
Not open for further replies.

Kwanza pole sana
May be I could be of a help.
Una umri gani?
 
Usikate tamaa mkuu. Life has never been easy to anybody. Pambana. Kila mtu ana story yake ya kusimulia. Si ajabu pale unapokata tamaa ya kuendelea ndio unaukaribia ushindi. Resilience is key to any success mkuu.

Lakini pia hakikisha unajiwekea malengo yanayotekelezeka na kupimika kulingana na resources ulizo nazo ndani ya muda muafaka. Ila hata ukifeli, it shouldn't be the end of the world. Seat back, relax, reflect na tathmini kuona ulikosea wapi, urekebishe wapi, uboreshe wapi and ultimately unatakiwa uangalie jinsi ya kufanya differently yale uliyokuwa unafanya ili kuongeza ufanisi na kuboresha matokeo.

Kila la kheri. Usikubali mawazo yako yawe kikwazo chako cha kuzitimiza ndoto zako.
 
Mkuu.
ndo kwanza ni miezi mi nane ya Rais wawanyonge ngoja miaka mitano itimie ndio itajua bora ya leo..
 
Asante kwa kunitia moyo mkuu
 
Sina c

Sina chochote cha kujivunia.
Are you sure? Please just take a piece of paper, and start mentioning all your blessings one by one. Mfano

1. Nina afya njema
2. Nina wazazi/familia na rafiki wanaonipenda
3. Nimesoma
4. Nina muonekano mzuri
5. Nimekula Leo
6. Ninaona, ninatembea, ninasikia, mikono yangu inafanya kazi etc
7. Nikiumwa Nina access na hospitali na madaktari wazuri + tiba etc

Tatizo binadamu muda wote tunapima baraka zetu kwa kuangalia possessions zetu (material things). Kuna Vitu ambavyo ni vidogo kwa macho, but vina thamani kubwa sana kwetu. Na hata siku moja usijilinganishe na waliokuzidi, bali wa chini yako. Otherwise hutojua ni kiasi gani umebarikiwa. Chukua kila nilichokimention afu angalia watu wa chini yako ni wangapi wanatamani kuwa kama ulivyo wewe. Kama hujanielewa, em kesho katembelee wagonjwa hospitalini afu uone

Yes, una ndoto zako but usipotelee kwenye ndoto ambazo bado hazijakamilika ukaishi kwa masikitiko na huzuni, ukashindwa kuenjoy maisha uliyonayo mikononi mwako. Kimbiza ndoto zako, ila shukuru na kuenjoy kwa ulivyonavyo pia. Mungu hata hajakusahau, it's just a matter of time. ..
 

safari ya maelfu ya kilometa daima huanzwa kwa hatua moja, yape kipaumbele malengo yako, punguza matumizi ambayo si lazima na mtumainie muumba wetu hakika utafanikiwa.
 
Ushauri mzuri sana akizingatia lazma atoke mahali alipo.pole sana kijana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…