HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Kumbe ni wewe uliye nibania nambaNimemwambia me na mpira vitu viwili tofauti akaishiwa pozi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ni wewe uliye nibania nambaNimemwambia me na mpira vitu viwili tofauti akaishiwa pozi
....sasa wakati anakuja kukaa top aliyovaa Bff.cn u get a prvat tym 2day?i want u juu kidogo nikaona shanga kiunoni za gold..
[emoji3][emoji3]acha hizo ww tangia lin ukapanda daladala za huku chocho kwetu
Nimesikitika mnoooo[emoji3][emoji3]acha hizo ww tangia lin ukapanda daladala za huku chocho kwetu
Pole mnoo[emoji23][emoji23][emoji23]
Machungu ya kufungwa na kunyimwa japo namba [emoji35]Pole mnoo[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]
Kwamba mbinguni hakuna biaWanasemaga madem wakali sana wengi wao majini,endelea kuchunguza miguuni kama hakuna kwato.
Mbinguni hakuna bia.
Ahahahaaa mkuu tunywe tu hapa hapa.