Nipo kwenye daladala nimekaa na demu mkali

Nipo kwenye daladala nimekaa na demu mkali

milionea wa kesho

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2015
Posts
328
Reaction score
633
Nipo kwenye daladala nimekaa siti moja na demu mmoja mkali ananunikia vizuri. toto jeupe lina chura mkubwa. sasa wakati anakuja kukaa top aliyovaa ilipanda juu kidogo nikaona shanga kiunoni za gold. Anatumia Iphone x. bado sijamwongelesha jamani sijui nianzie wapi. Hili suala la kuanzisha conversation naona bado gumu kwangu.

uzi tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpe namba yangu mwambie Zero kasema mtafute

Cc Zero IQ
 
ha ha anatuma matokeo[emoji16][emoji16]the guy is funny kwa kweli na wanawake wengi wanapenda wanaume wanaochekesha. ushaliwa tayar
Duuh muanze tu kama mm apa uyu jamaa kanizugia na mpira ananiambia naashabikia timu gan mwishon akaomba no anitumie matokeo[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom