Nipo kwenye daladala nimekaa na demu mkali

Nipo kwenye daladala nimekaa na demu mkali

Nipo kwenye daladala nimekaa siti moja na demu mmoja mkali ananunikia vizuri. toto jeupe lina chura mkubwa. sasa wakati anakuja kukaa top aliyovaa ilipanda juu kidogo nikaona shanga kiunoni za gold. Anatumia Iphone x. bado sijamwongelesha jamani sijui nianzie wapi. Hili suala la kuanzisha conversation naona bado gumu kwangu.

uzi tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
JF kuna mada nyingi zinazohusu UKIMWI...Jaribu kuzipitia zote then endelea na mambo yako.
Asante.
 
Duuh muanze tu kama mm apa uyu jamaa kanizugia na mpira ananiambia naashabikia timu gan mwishon akaomba no anitumie matokeo[emoji23][emoji23]
Pwahaaaaaaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom