Semere92
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 593
- 841
Twaomba na picha mkuuHakuna hata mmoja yaani imekuwa kiza
Twaomba na picha mkuuHakuna hata mmoja yaani imekuwa kiza
Usepe uende wapi?.
Hapo hamna kitu mikwara Tu.
Pana uzi hapa unakuhusu mjomba:
Kimbunga Jobo: Kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar yawatahadharisha wananchi
Mamlaka za hali ya hewa zimeendelea kutaka wananchi wachukue tahadhari dhidi ya kimbunga JOBO ambacho kwa sasa kipo umbali usiozidi km 400 kutoka mwambao wa Bahari ya Hindi. Kamisheni ya Maafa Zanzibar imetoa tahadhari kwa wavuvi na wamiliki wa vyombo vya usafiri baharini kutokana na uwepo wa...www.jamiiforums.com
Mzaha mzaha hutumbua usaha.
Usepe uende wapi?.
Hapo hamna kitu mikwara Tu.
WIZI MTUPU
Huko Hawaii ilikuwa wakiona Tufani wanachukua Wasichana wadogo na kwenda kuwatupa kwenye Volcano ili Kimbunga kisilete Maafa
Anza kuondoka hayo maeneo mkuu kimbilia angalau Kimara kuko juu kidogo...Wakuu au ndio Kimbunga Job kimeshasogea tusepe
Pana uzi hapa unakuhusu:
Kimbunga Jobo: Kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar yawatahadharisha wananchi
Mamlaka za hali ya hewa zimeendelea kutaka wananchi wachukue tahadhari dhidi ya kimbunga JOBO ambacho kwa sasa kipo umbali usiozidi km 400 kutoka mwambao wa Bahari ya Hindi. Kamisheni ya Maafa Zanzibar imetoa tahadhari kwa wavuvi na wamiliki wa vyombo vya usafiri baharini kutokana na uwepo wa...www.jamiiforums.com
Mzaha mzaha hutumbua usaha.
Ungesema ni vita vya kiuchumi ungeeleweka zaidi kuwa ungali awamu ya tano na rais wako ni mh. jiwe.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Unaweza kukiangalia kimbuna kimefika wapi na kinaenda wapi kwa ukaribu sana hapa.
Kila kinavyokaribia kasi yake inapungua na pia uelekeo kinaweza kisije kabisa huku kikaelekea zake MozambiqueDaah aisee nimesikia taarifa kuwa kinapunguza kasi bora iwe hivyo kwa kweli Mungu atusaidie kiepushwe mbali kisilete madhara kwa kweli...
Kwa hiyo wanakopata vimbunga hawana MunguMsiogope,Mungu alishailinda Tanzania tangu anaiumba.
Location yetu ni safe zone kwa haya madude.
Malaika wetu anatulinda na mengi sana anaitwa EQUATOR(IKWETA).
Huyo Jobo anavyoikaribia latitude 6 degree(bandari ya salama) lazima alegee mwenyewe.
Tutapata vimvua tu vya hapa na pale labda...eimeen.[emoji4]
Kila kinavyokaribia kasi yake inapungua na pia uelekeo kinaweza kisije kabisa huku kikaelekea zake Mozambique
Beberu kamuondoa Baba J halafu katutumia Kinyamkera.Ungemalizia kabisa pale - kwa hisani ya beberu. Tungeamini kabisa kuwa huyu beberu katupania kweri kweri tukakaa mkao wa kupambana naye.
Au nasema uongo ndugu zangu?
😂😂mbona mnanisolola wakubwa.sio dini ni sayansi ya ikweta hiyo.Hahaha walokole bwana !