Nipo Kariakoo naona bonge la Wingu

Nipo Kariakoo naona bonge la Wingu

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI _ Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imetoa taarifa mpya leo April 24, 2021 kuwa Kimbunga Jobo kimepunguza nguvu kwa haraka mara baada ya kuingia kwenye mazingira yenye mzunguko wa upepo kinzani. “Kwa sasa Kimbunga Jobo ni kimbunga hafifu kinachosafiri kwa kasi ya kilometa 18 kwa saa Baharini, hata hivyo kitasababisha mvua kubwa katika maeneo machache ya Ukanda wa Pwani leo na kesho na upepo huo utasababisha mawimbi makubwa Baharini”———TMA.
Kimelegea tayari!🤣chezea ikweta wewe!nimewaambia tayarisheni mabeseni wakubwa😂😂
 
Kwa kutoka nje ya mada naomba mwenye connection au mawasiliano ya mtu anaeuza vifaa vya gari anipatie Kwa hapo kariakoo.
 
tulia huko
176617226_293130622546179_3802804845121520631_n.jpg

Sasa huu ndio utopolo gani
 
kwani yeye hajaenda hospital au kafia porini?
Kabisa nitakufa. Hilo ninalijua na sina taabu nalo hata kidogo.

Ila hatari ya wazi inayokubalika sitaikimbilia.

Vinginevyo hospitali za nini basi jombi?
 
kwani yeye hajaenda hospital au kafia porini?

Alisikia kuna Corona hakuchukua tahadhari zozote. Alichuuzwa kuwa Corona imeamuliwa kuondoka au kuishi kwa adabu naye akaamini.

Hospitali hakwenda bali alipelekwa katika hali gani? Mimi na wewe twaijuaje naye sasa hayupo kuisifia mvua?

Hiiiiii bagosha.
 
Msiogope,Mungu alishailinda Tanzania tangu anaiumba.
Location yetu ni safe zone kwa haya madude.
Malaika wetu anatulinda na mengi sana anaitwa EQUATOR(IKWETA).
Huyo Jobo anavyoikaribia latitude 6 degree(bandari ya salama) lazima alegee mwenyewe.
Tutapata vimvua tu vya hapa na pale labda...eimeen.[emoji4]
Ndo nimeelewa ile point ya importance of equatorial zone?
 
Alisikia kuna Corona hakuchukua tahadhari zozote. Alichuuzwa kuwa Corona imeamuliwa kuondoka au kuishi kwa adabu naye akaamini.

Hospitali hakwenda bali alipelekwa katika hali gani? Mimi na wewe twaijuaje naye sasa hayupo kuisifia mvua?

Hiiiiii bagosha.
huyu kwani anaongea nini??
 
Wale wa mabondeni wapendwa mjisogeze kuelekea kimara makongo mbagala
Huyu mdudu akigusa pwani zetu ni majanga
Mungu atuepushe
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI _ Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imetoa taarifa mpya leo April 24, 2021 kuwa Kimbunga Jobo kimepunguza nguvu kwa haraka mara baada ya kuingia kwenye mazingira yenye mzunguko wa upepo kinzani. “Kwa sasa Kimbunga Jobo ni kimbunga hafifu kinachosafiri kwa kasi ya kilometa 18 kwa saa Baharini, hata hivyo kitasababisha mvua kubwa katika maeneo machache ya Ukanda wa Pwani leo na kesho na upepo huo utasababisha mawimbi makubwa Baharini”———TMA.
Na tunywe beer....
 
Hii TMA ya kwetu huwa siiamini kabisa,sijui kwanin hataa.....
 
Back
Top Bottom