Nipo Kariakoo naona bonge la Wingu

Nipo Kariakoo naona bonge la Wingu

Msiogope,Mungu alishailinda Tanzania tangu anaiumba.
Location yetu ni safe zone kwa haya madude.
Malaika wetu anatulinda na mengi sana anaitwa EQUATOR(IKWETA).
Huyo Jobo anavyoikaribia latitude 6 degree(bandari ya salama) lazima alegee mwenyewe.
Tutapata vimvua tu vya hapa na pale labda...eimeen.[emoji4]
Eimeeeeeen
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI _ Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imetoa taarifa mpya leo April 24, 2021 kuwa Kimbunga Jobo kimepunguza nguvu kwa haraka mara baada ya kuingia kwenye mazingira yenye mzunguko wa upepo kinzani. “Kwa sasa Kimbunga Jobo ni kimbunga hafifu kinachosafiri kwa kasi ya kilometa 18 kwa saa Baharini, hata hivyo kitasababisha mvua kubwa katika maeneo machache ya Ukanda wa Pwani leo na kesho na upepo huo utasababisha mawimbi makubwa Baharini”———TMA.
Bora upepo uje ukaushe nguo zangu.
 
Back
Top Bottom