Nipo Kariakoo naona bonge la Wingu

Msiogope,Mungu alishailinda Tanzania tangu anaiumba.
Location yetu ni safe zone kwa haya madude.
Malaika wetu anatulinda na mengi sana anaitwa EQUATOR(IKWETA).
Huyo Jobo anavyoikaribia latitude 6 degree(bandari ya salama) lazima alegee mwenyewe.
Tutapata vimvua tu vya hapa na pale labda...eimeen.😊
 
Mbona sio kimbunga cha kwanza unaambiwa hata Mwaka 1950 kilitokea
Yes,lakini ni very rare na mara nyingi athari zinakuwa zaidi kusini mwa nchi.(hicho unachosema kilipiga kusini mwa nchi).
Kwa Dar kisayansi ni ngumu sana kufikia catastrophic levels lakini siwezi kubisha maana hakuna mwamba wa sayansi 100% aliyegundua kila kitu kwenye maumbile ya dunia.
 
Back
Top Bottom