Beberu atasingiziwa sana.Beberu kamuondoa Baba J halafu katutumia Kinyamkera.
Tumtafutie Mganga wa Bagamoyo au Sumbawanga tumrudishie kitu chake haraka sana!
Mwendazake zake alikuwa busy kupanga mikakati ya mavuno dhidi ya walioukimbia ugonjwa asijue hata yeye ni mhanga kama wao.
Wetu wa bwagamoyo au sumbawanga Jobo wanadhani ni supika wetu mpendwa.
Hiiiiii bagosha!