Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,660
- 15,745
Aaah, teknolojia hii, ngoja nipande hewani niwaview from google Earth...
Hahahaa bakurutu lipo auUsisahau kuja leo Njereez Bistro un'goe mademu wa Makumira.
Karibu matejoo bwana mdogo huku sisi hatukabiMpenzi msomaji,ikiwa ni wiki sasa nipo kikazi Arusha,mkoa wenye baridi na utulivu swadakta kabisa kama ujuavyo ''Tembea uone" nimegundua ya kua
1. Sio kila sehemu za kutembea kwa maringo kama ungalimited,uswahilini,daraja 2 hasa mida ya saa 2,3 na kuendelea
2. Baa nyingi za huu zimejaa wambulu,warangi,wanyaturu na wanyiramba na wanapakia bia balaa na ukizubaa wanaweza hata kukuuza mzima mzima
3. Kuna sehemu ya kuitwa kwa morombo ni maarufu kwa kuchoma nyama ni kama kikundi kimepanga mistari 2 huku na huku barabara katikati hapo mbuzi kwa siku wanachinjwa hata 800
4. Ukitaka kuanza maisha huku yakupasa ufikie uswahili na sio njiro,sanawari na sehemu nyingine za kitajiri wafaa
Nipo kwa morombo nasubiria mbuzi kidali+Salala kichomwe niendelee kunyonya taratibu
Kama ulishawahi kutembea maeneo haya hebu tupe udukuzi wako ulivyoudukua mkoa huu yaliyomo humu ndani
KARIBUNI SANA
mbwaUzuri wa Morombo hata yule mbuzi wa Iringa anapatikana.
Braza hao ni wamang'atiWatoto wakimburu hawajui kukataa mwanaume pia ukiwaangalia wana vichale viwili viwili kwa kila shavu
Heeee inaachajee kuwepo uwanja wetu wataifaa paleePin point club bado ipo?
Yalee mamamdiii ya makumira na ngarasero yanakataa bako laaanaa. Ukijipindua unajazwaaaNa watoto Wa Ngarasero muda mibovu
Yalee mamamdiii ya makumira na ngarasero yanakataa bako laaanaa. Ukijipindua unajazwaaaNa watoto Wa Ngarasero muda mibovu
Kunaa mjengoni maeneo ya olasit panaitwa mjengoni inapigwa sebeni ya makasii unaweza ukajua upo drcHahahaa bakurutu lipo au
Arusha hamna sukari inayokubali kuliwa nyama kwa nyama a.k.a kutembelea rim,yaani ukiona sukari arusha imekubali kuliwa kavu basi mlaji baada ya miezi mitatu akapimeTahadhari kubwa nadhani ni condom mwambie mwenzako.
Si kweli nyama ya kondoo ina ladha tofauti kabisa na mbuzi na mara nyingi kondoo kwa Arachuga uliwa na wamasai tena kwenye shughuli za kimila it is very rare kukuta nyama ya kondoo inauzwa hata buchaniNimeingia machinjioni nimekuta kondoo 99.9 asilimia wanachinjwa watu huku wanalishwa kondoo badala ya meee