Nipo Arusha kikazi, uchunguzi wangu mdogo nimegundua yafuatayo...

2d1e7fb95f4c7a6e46d7b20f38da645c.jpg
 
Ukafanye uchunguzi sehemu moja ipo mitaa ya Kaloleni panaitwa Shivaz. Muda huu watakuwa wanafanya usafi. Muda mzuri kuanzia saa mbili usiku. Nakutahadharisha tu uende na kisimu cha tochi.
acheni kutisha watu shivaz tunaenda a simu za maana tu lakini hakuna unyang'anyi wa kiholela kama usemavyo
 
Njoo nikupe mmoja.

Mwanzo najua pinpoint iliitwa lemanyata na jengo pia lemanyata ila baadae wakaiita pinpoint night club baada ya flow mbili kufanywa club. Na kipindi hicho tunatoka kitaa tunasema twendeni lemanyata
Hivi mkuu inamaana ww niwasikunyingi sana au uwezi amini kwa Mara ya kwanza nilipaskia pinpoint sikuwahi kujua hiyo story ya jina lingine
 
Sanawari ziko mbili acha na kule kwenye vumbi kajamba nani kuna hapa kati patuliv ajab tunavuta bangi mchanaaaa
 
Kwetu hapa kwa mrombo ,, ila sijawahi sikia wala kuona wamechinja mbuzi 800 kwa siku...

Labda useme 80 , eighty ...
 
Back
Top Bottom