Nipo Arusha kikazi, uchunguzi wangu mdogo nimegundua yafuatayo...

Picnic wahudumu wana shifts kama manesi kukagua wagonjwa.... Toto zina paja Kama Kroiler iliolishwa ngano, lainiiiiiii...

Damn! Bring Back My Old A Town

Ahaha sijui wale wahudumu kawatolea wapi? Watoto wamejazia kla kona.
 
Ukafanye uchunguzi sehemu moja ipo mitaa ya Kaloleni panaitwa Shivaz. Muda huu watakuwa wanafanya usafi. Muda mzuri kuanzia saa mbili usiku. Nakutahadharisha tu uende na kisimu cha tochi.
Siku hizi Kuna Pick nick Karibu na hapo ni nomaaa aiseee.
 
Watoto wakimburu hawajui kukataa mwanaume pia ukiwaangalia wana vichale viwili viwili kwa kila shavu
 
Chalii wadogo wadogo wanaitwa nyokaa..maalumu kwa ajili ya kuangalia ramani za jiji kisha wanapeleka taarifa kwa wakuu wao..deal ni saa 24..ukitembea na demu pale kaloleni kisha mkapishana kipato imekula kwako..atakuaibisha na makelele mwanzo mwisho hah hah
 
Pita hapa delux pub darajani upate makinikia moja ya bariiid "chalaangu"
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom