Nipo Arusha kikazi, uchunguzi wangu mdogo nimegundua yafuatayo...

Namba 2 mkuu tutake radhi wanyiramba aiseee, hivi sie twaweza kunywa kuzidi wachaga,anyway karibu Arusha yetu wenyewe tushazoea weee hata huko Unga ltd unapita zako usiku bila taabu
 
Ukafanye uchunguzi sehemu moja ipo mitaa ya Kaloleni panaitwa Shivaz. Muda huu watakuwa wanafanya usafi. Muda mzuri kuanzia saa mbili usiku. Nakutahadharisha tu uende na kisimu cha tochi.
Tahadhari kubwa nadhani ni condom mwambie mwenzako.
 
Ndio waza wa Chuga..
Uko wap nikuonyeshe arusha..
Umeenda bar za uchochoroni teh teh teh..
 
Daby Mzee wa kupendwa na madem wa Jf!!


Me manyatta ni jengo linaitwa pin point ni club chalii!
Njoo nikupe mmoja.

Mwanzo najua pinpoint iliitwa lemanyata na jengo pia lemanyata ila baadae wakaiita pinpoint night club baada ya flow mbili kufanywa club. Na kipindi hicho tunatoka kitaa tunasema twendeni lemanyata
 
Ukitoka kwa Muoromboo nenda Mile stone pale Sakina ukanywe supu. Ukitoka hapo pitia pale Picnic,mkabala na Shivaz ukapige safari za baridi na uchukue popo.
 
Back
Top Bottom