Nipeni sifa za wanawake wafupi!

Mi tolu, before nilikuwa naprefer mademu warefu tu na wafupi nilikuwa nawakacha kwa makusudi, ila nilikuja ku-date na old friend ambae tulicheza nae utotoni ila tukapoteana for years, mitandao ikatukutanisha. nikarusha ndoano ila ile kukutana yeye alikuwa mfupi afu mi tolu, nikaona poa tu ila nilichopata kutoka kwake dah siri yangu ila nilibadilisha mentality yote mpaka kesho...i prefer mademu wafupi. Wako hot sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom