[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]..we chiziHahahhaa mm namuona kbs hubby anaringa na kimo chake..huwa namdandia mabegan kwa hasira..unaomba msaada kisa yy mrefu anakuambia hv wakat Mungu anaumba warefu ww ulikuaga wp lakini bas nandandia nimuangushe tu
a.k.a Shikana!Hivi kwanini tuna vijimatege Fulani hivi ....nilijua peke yangu hahahahahhaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaahaaaa[emoji1787]Mwisho wa siku mapenzi sio mashindano ya kuringiana. You need someone who feels for you. Someone who strives to make you smile! Sijisifii but personally i also do have that character. That sense of humor! Just finding ways to make a woman smile...always! Short guys have that all na wanajua kujali haswa!
Kesi ya matolu kuringa hio nina real life experience, nina mdogo wangu janki tu wa 21 year with 6ft now. Kafuga mindevu ukimuona ana mwili kama lebron vile na upara wake! Au madem wanavyokoma sasa. Habembelezagi yani hio biashara hafanyi! [emoji3][emoji3][emoji3] Unakuta kademu kanazira badae kanarudi kujibembelezesha tena.
[emoji16]punguza kulaMimi nakua km Kinu nwdys...!zaman sawa ila sasa hv kinu..shingo,kifua,tumbo,kiuno vimeachana cm 3...!ukiniweka kwenye kiroba aku nafit safi kbs[emoji21][emoji21]
Haaaahaaaa[emoji1787]Hahhaa jikubali tu...mm ningekua mrefu nahis ningesunbua sana jamii
[emoji16][emoji16][emoji16]Hawachi amesema mm mrf hii mada hainihusu nawazoom vyaufupi[emoji23][emoji23][emoji23]
Itakuwa maumbile tuSijui shida ni nn mm mwenhew nina tege km hilo[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Hahahhaa mm namuona kbs hubby anaringa na kimo chake..huwa namdandia mabegan kwa hasira..unaomba msaada kisa yy mrefu anakuambia hv wakat Mungu anaumba warefu ww ulikuaga wp lakini bas nandandia nimuangushe tu
Wewe sio mfupi, mfupi ni below 150cmMie najijua mfupi..ila nikikutana na wafupi mm nakuwa tall[emoji23][emoji23]..bt mm mfupi...!kitu kama 156cm hv[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]!miaka hii ndo nimejikubali...huko nyuma ilikua mwendo wa heels..sasa hv aku[emoji111]
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
OMG I laughed out loud
Eti kumdandia
Sent using Jamii Forums mobile app
🙈Wengi wao(kama sio wote) sio warefu.