Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,995
- 54,138
labda ufe
Ha haa kumbe hii cm ilibadili maana eeh... Na sikurudi nyuma kuangalia hatauna maana ya fair. kama ni ivo, nakwambia kuna kero ambazo kwa hali ya sasa zinaweza kusababisha matatizo makubwa yakapelekea kifo. bora kujitenga ma mtu wa aina hiyo
Ha haa vunga[emoji85]fear? Mmmhh!!!!
Amezoea code mixing na code switch hahaha!poleekuna umuhimu wa kutafuta mkalimani maana hii lugha inasumbua
Ha haa kumbe hii cm ilibadili maana eeh... Na sikurudi nyuma kuangalia hata
Sasa hivi mahusiano yanazidi kua kilio kikuu
Wewe unaweza ukawa unapenzi la kweli ila hujui pa kuwekeza
Yule nae analo huba la dhati mtu wa kumkabidhi na kulipokea na kulitunza ikawa mtihani...
Tunapenda tusipopendwa
Na tunapendwa tusipopenda
Wote tuko mzungukoni ila tunapishana mpaka kukutana na mwenzako mwenye uhitaji kama wako sio kazi ndogo
Ni miezi 6 tu na si miaka 3Ki sheria ukikaa na mwanamke miaka 3 pika pakua huyo ni mkeo ki halali kabsaa mkuu
Yaa ni kwel kabisaKwangu siwezi kukushauri namna ya kuachana na mkeo, wakati unamuoa ulimshirikisha nani?
Kuwa mvumilivu, kuna wengine walimalizaga zaidi ya miaka 15 bila kupata mtoto sembuse wewe wa miaka mitano!
hivi siku hizi Kuna true love mm sijui kupenda kabisa na sijawahi huwa nikido namchukia gaflaUmeongea kweli Tina tunapishana na mitazamo pia wewe unapokuwa serious na mtu yeye anachukulia upendo wako for granted , unapokuwa unamuona yeye ni mume yeye anakuona mpango wa kando . Maisha yamebadilika hayana usawa hata unapokuwa umejituliza nae hupepesi jicho kuangalia nje yeye kakazana kukulaumu na kuona unaigiza inachosha na kuumiza
Kosa moja haliach mke na kuzaa ni majaaliwa 2 ya munguKuna mwanamke nimeishi nae miaka mitano kanisumbua kweli kweli mpaka nilimpata BP biashara hawezi, pia miaka mitano hajanizalia, ana kiburi balaa juzi kati kaenda kwao rukwa nimemwambia abaki huko huko simtaki tena sina ndoa nae wala sijamlipia mahari amekua mbishi haelewi kabisa mimi nipeni njia nimfanyeje anisahau.
jidanganye tu bintiAmezoea code mixing na code switch hahaha!polee
hivi siku hizi Kuna true love mm sijui kupenda kabisa na sijawahi huwa nikido namchukia gafla
nakutafuta Zaidi ya Kifo na binadamu.. Nakuomba ujeHa haa vunga[emoji85]
Haya nimekuja[emoji144]nakutafuta Zaidi ya Kifo na binadamu.. Nakuomba uje