Nipeni njia ya kumfukuza mwanamke

Nipeni njia ya kumfukuza mwanamke

Hili nalo la kutaka ushauri? Kweli wanaume tunazid kubaki wachache
 
That's the way is suppose to be work out .. The problem some women can't say nothing kwa waume zao I just don't know why... Anaona sijui hatopata mwingine , its just low self steam.. May be and may be not .. But I'm sure kuna reason behind .. That's why ni vema Ku discuss this from the beginning about the future.. So unakuwa na vision and plans.. Kwa jinsi ninavyoona kwa hii relatioship i think walikutana na kupendana na kuanza kuishi pamoja tuu bila malengo . or may be walikuwa na malengo but some how somewhere things didnt go the way it should so my Brother hakukaa nae chini na kuongelea where hapakwenda sawa , nini kinatakiwa kifanyike ili mambo yawe straight andthen wafanye plans zao , I am just guessing .. But they are the ones who know what and where wasnt right.. Thanks..
Kweli kabisa mkuu hii imekaa sawa.
 
Chukuwa mahamuzi magumu hama hiyo nyumba au mtaufutie dada poa then jitengezee fumanizi hapi lazima ataisoma namba
 
ukiona mtu anakung'ang'ania fahamu unakitu kinachofanya hivo, mtu hawezi kuganda au kung'ang'ania kwenye hamna....njia rahisi nakupa wewe kamrudishe ulipomtoa tena kinguvu sio unalemnalemba tu
 
mwanaume, kiumbe adimu aliyehatarini kutoweka duniani
 
Mama Mkwe ndio mwisho wa mchezo, wala hutajua ameondoka saa ngapi.
 
Back
Top Bottom