Nipeni njia ya kumfukuza mwanamke

Nipeni njia ya kumfukuza mwanamke

Hahahahaha!!!ka dill na doctor mkapime d aseme ww ni mwathrika atakimbia mbaya!!!! Kuliko
 
You just say by the Tanzania law .. What about God's law? Common now .. We can just ignore the Truth.. If ingekuwa kama amemuharamia huyo Dada na kufunga nae ndoa , will he still come over here Jf and ask how to kick her out ? He would probably ask what can he do to save his marriage and how can his wife get pregnant .. Huyu brother hana uchungu wala hamjali Huyo Dada.. Because hajagharamia chochote .. Na usikute hata kwao kwa mwanammke hawammjui ( inaudhii hii)... 5 good years are wasted . This is the lesson for some women .. Never live with the guy without marriage.. Anayekupenda mwambie nenda kwetu ( hii my Grandma taught me ) ukiona hata interesting ya kwenda kwenu ujue Huyo ni player ....Thanks.
hii lugha siilewi
 
Kuna mwanamke nimeishi nae miaka mitano kanisumbua kwel kweli mpaka nilimpata BP biashara hawez, pia miaka mitano hajanizalia, ana kiburi balaa juz kati kaenda kwao rukwa nimemwambia abaki huko huko simtaki tena sina ndoa nae wala sijamlipia mahari amekua mbishi haelewi kabisa mm nipeni njia nimfanyeje anisahau
ungekuwa Mkurya au mwenyeji wa Tarime ningekushauri Umuchinje tu,maana ukiwa kule hata kesi upati maana ni jambo la kawaida-kwa vile ni mtu wa rukwa atakuwa Mfipa huyo basi mloge tu hamna namna
 
mm ni mchaga nimejaribu kuwashirikisha ndugu zangu wanaogopa ataniloga sasa naendelea kuvumilia huku naumia isitoshe tayari nina presha
 
Without marriage? I dont bless it... May be this is the reason why God didn't allow it for them to have kids together because iko kinyume na maandiko ... Jamani wakaka msiishi na women for those too long years without marriage... Women wengi hawasemi but the Truth is some of us mkiishi nasi muda mrefu bila malengo we got tired of it na tunaanza kuwadharau plus vituko on the top.. Women don't say it but that's the truth .. Thanks...
If she got tired, I think the best way for her is to leave the man peacefully, instead of freaking.
 
You just say by the Tanzania law .. What about God's law? Common now .. We can just ignore the Truth.. If ingekuwa kama amemuharamia huyo Dada na kufunga nae ndoa , will he still come over here Jf and ask how to kick her out ? He would probably ask what can he do to save his marriage and how can his wife get pregnant .. Huyu brother hana uchungu wala hamjali Huyo Dada.. Because hajagharamia chochote .. Na usikute hata kwao kwa mwanammke hawammjui ( inaudhii hii)... 5 good years are wasted . This is the lesson for some women .. Never live with the guy without marriage.. Anayekupenda mwambie nenda kwetu ( hii my Grandma taught me ) ukiona hata interesting ya kwenda kwenu ujue Huyo ni player ....Thanks.
Kweli mkuu.
 
If she got tired, I think the best way for her is to leave the man peacefully, instead of freaking.
That's the way is suppose to be work out .. The problem some women can't say nothing kwa waume zao I just don't know why... Anaona sijui hatopata mwingine , its just low self steam.. May be and may be not .. But I'm sure kuna reason behind .. That's why ni vema Ku discuss this from the beginning about the future.. So unakuwa na vision and plans.. Kwa jinsi ninavyoona kwa hii relatioship i think walikutana na kupendana na kuanza kuishi pamoja tuu bila malengo . or may be walikuwa na malengo but some how somewhere things didnt go the way it should so my Brother hakukaa nae chini na kuongelea where hapakwenda sawa , nini kinatakiwa kifanyike ili mambo yawe straight andthen wafanye plans zao , I am just guessing .. But they are the ones who know what and where wasnt right.. Thanks..
 
mm ni mchaga nimejaribu kuwashirikisha ndugu zangu wanaogopa ataniloga sasa naendelea kuvumilia huku naumia isitoshe tayari nina presha
sasa meku kweli unaweseka kisa mwanamke...unatuangusha ndgu zko mbinu ni nyingi sana kwanza hama hiyo nyumba kapange kwingne hamisha vitu vyako vyote.then vuta kitu kingine kipya fasta fasta
 
Dear kama unamuamini Mungu na ni tegemeo lako ,huwezi ogopa nguvu za Giza maana Nuru indani mwako.. Kwa mini umsubiri mpaka arudi ndio ummfukuze ? Nenda kwao umake sure amefika salama .. Ukifika huko ongea na familia yake na uwaambie mtoto wao huyo huwezi kuwa nae tena so kama Akiondoka hapo kwao na kusema anarudi kwako ni uongo maana hutokua nae tena , full stop, easy like a peas.. ( Lipa wazazi fidia za kukaa nae miaka 5 bila mahari wala ndoa ) Then endelea na maisha yako .. Usiogope Damu ya Yesu INA nguvu kuliko chochote.. Tubu kwa Mungu wako . Anza mahusiano mapya na Mungu .. And usizini tena ... Miaka 5 ni mingi sana kukaa na mtoto WA watu bila ndoa...Hivi angekuwa mwanao WA kike anafanyiwa hivyo ungejisikiaje ? Huwezi kuelewa mmpaka uwe mzazi ndio utaelewa ninachokiongea , haswa mzazi WA mtoto WA kike .. Jifunze hilo na usirudie tena kwa mahusiano mengine yajao... Thanks..
 
mzee nimewekeza biashara afu inatoka kishenzi yupo mdogo wangu
 
asante
 
Meku tatizo lako hujiamini kma wakiume kwani ukihama nyumba kuna tatizo gani..pia hpo ulipowekeza hata akija kushinda wewe vaa wa mbuzi 2 atachoka na kuondoka hata kma ni kinganganizi wa karne
 
Panga Chumba Kimyakimya Then Hama Na Chumba Pamoja Na Vitu Muachie
 
My dear hawajaoana wala kulipiana Dowry... Thanks...
Si mara zote unaweza mpa mwanamke mimba ikiwa bado huishi nae, basi yampasa kuvumilia na kujipa moyo. Maswala ya tabia ni ngumu sana kwa mwanamke kukubadilikia tabia na mda huo huishi nae pia, huyu jamaa aseme tu ukweli kama alikuwa anaishi nae na sio kuharibu jina la uchumba kwa visingizio.
 
Kwangu siwezi kukushauri namna ya kuachana na mkeo, wakati unamuoa ulimshirikisha nani?
Kuwa mvumilivu, kuna wengine walimalizaga zaidi ya miaka 15 bila kupata mtoto sembuse wewe wa miaka mitano!
Kasema hana ndoa ni ile design karibu tuishi basi.
 
Kaa ukijua kuoa ni lazima ila kuzaa ni majaliwa.
 
We unadhani kuachwa ni jambo rahisi.....wacha ang'ang'anie maumivu ya mapenzi yanauma....

Afu kaenda kwao rukwa akirudi tu unatangaza ndoa...... Umeenda kutengenezwa teh teh natania bwana
 
Mkuu ningekuwa ni weye hilo wazo la kumwacha ningelifuta kabisa. Unaweza kujitapa huogopi kulogwa lakini utalogwa mpaka hiyo pua.
Umesema katoka wapi vile?? Weye umetokea huko au?? Cha kufanya, wekeaneni dau, atakaye muwahi mwenzake basi aliyewahiwa amtii aliye muwahi. Hivi hivi mkuu utakuwa boi wa mama shauri lako. Tulia tena uoneshe kumpenda ili kama ni kamchepuko akuruhusu mwenyewe umletee mtoto
 
Si mara zote unaweza mpa mwanamke mimba ikiwa bado huishi nae, basi yampasa kuvumilia na kujipa moyo. Maswala ya tabia ni ngumu sana kwa mwanamke kukubadilikia tabia na mda huo huishi nae pia, huyu jamaa aseme tu ukweli kama alikuwa anaishi nae na sio kuharibu jina la uchumba kwa visingizio.

Dear hii hii hata kwa uchumba haipo 5 years muishi pamoja as wachumba no way ... Labda niwe nnje ya nnchi nafanya project na yeye anafanya project but not like this.. Siuwezi uchumba sugu kwa kweli , I will go crazy ...Because I will definetly sit down with you and talk to you ( ikiwa hueleweki najitoa ) .. Kwanza ikifika 2 years we will have to talk kidogo .. Sembuse 5 huhuuu, no, no.. I need a plan .. I live with the plan.. Hata Mungu alituumba with His plans ..to be fruitful unto Him. .. Tuje tumuabudu , tummtumikie na tujaze ulimwengu iweje sisi tusifanye hivyo.. Sipendi tupotezeane muda .. So kwa huyu hata mimi.nilifikiri hivyo kuwa waliishi tuu kwa kuchukuana .. Na sio uchumba..Thanks..
 
Back
Top Bottom