Nipeni njia ya kumfukuza mwanamke

Nipeni njia ya kumfukuza mwanamke

Hujawa wazi ,kama ulimtoa usichana wake usitegemee kuachana naye,, lakini kama alitoka kwao kabanduliwa siri,, basi chukua ushauri wa jamaa hapo juu mlengeshe kwa jamaa zako wa karibu,, ila roho isikuume maana jamaa anaweza kula kweli mzigo ukaanza tena ugomvi.
 
Mbaya zaidi jamaa akampachika mimba!! hiyo itakuwa vita Kali zaidi ya Israel na Palestine
 
Hujawa wazi ,kama ulimtoa usichana wake usitegemee kuachana naye,, lakini kama alitoka kwao kabanduliwa siri,, basi chukua ushauri wa jamaa hapo juu mlengeshe kwa jamaa zako wa karibu,, ila roho isikuume maana jamaa anaweza kula kweli mzigo ukaanza tena ugomvi.
huku huwez Pata ushauri watoto wengi
 
Without marriage? I dont bless it... May be this is the reason why God didn't allow it for them to have kids together because iko kinyume na maandiko ... Jamani wakaka msiishi na women for those too long years without marriage... Women wengi hawasemi but the Truth is some of us mkiishi nasi muda mrefu bila malengo we got tired of it na tunaanza kuwadharau plus vituko on the top.. Women don't say it but that's the truth .. Thanks...
Jamani andikeni Kiswahili au Kiingereza au tuanzishe KiswaNglishi
Maana sijui umeandika nini.
 
Kuwa mliberali,mwambie unataka kuolewa..
...

Ha ha ha ha ha uliberali duuuhh!!
 
Weka kitu kingine dan... Akirud anakuta toleo jipya.....
 
Weka picha tuone kama anavutia usikute anasura ya ndimu
 
Kuwa mliberali,mwambie unataka kuolewa..
Nimecheka kwa nguvu na ni usiku lol! liberaliii!
kama hajalipiwa mahari, huna ndoa, huyo si mkeo hawara yako tu kama mpo nyumba ya kupanga na huna kiumbe cha kukulilia mwache kapnge kwingine. watu wakorofi wajifunze.,hawajui maandiko! wa nini
 
Umemvhokonoa miaka mitanooo umemboinjua hata matako yameisha umemgeuza doz kutwa mara 3 as if umeambiwa na dr sasa leo upewe njia ya kumkimbia? Hata shetan hatokusaport jiandae kisaikorojia
 
My dear hawajaoana wala kulipiana Dowry... Thanks...
Mkuu,
Huyo ni mkewe! Cha kufanya ni kama mwana jamvi mmoja alivyoshauri sio swala la kupanga tu, haya kama ni nyumba yake anakaavaipangishe apogee hiyo sehemu.
Huyu mwanamke atamsumbua sana na itamcost!
 
Back
Top Bottom