Nipeni njia ya kumfukuza mwanamke

Nipeni njia ya kumfukuza mwanamke

Mkuu ningekuwa ni weye hilo wazo la kumwacha ningelifuta kabisa. Unaweza kujitapa huogopi kulogwa lakini utalogwa mpaka hiyo pua.
Umesema katoka wapi vile?? Weye umetokea huko au?? Cha kufanya, wekeaneni dau, atakaye muwahi mwenzake basi aliyewahiwa amtii aliye muwahi. Hivi hivi mkuu utakuwa boi wa mama shauri lako. Tulia tena uoneshe kumpenda ili kama ni kamchepuko akuruhusu mwenyewe umletee mtoto

Ahhhaahaaaahaaaa..... Jf never boring .. Thanks...
 
inawezekana hujaamua kwa 100% kuachana nae
ndio maana unatuambia "umekosa namna ya kuachaba nae"
 
1. Kupata mtoto ni majaliwa ya mungu. Swali ni je mshawahi kupima nani mwenye matatizo???
2. Huyo tayari ni mkeo kwani katika kipindi cha miaka 5 unataka kusema hamkuweza kufanya chochote yaani kama kunua kiwanja au kujenga n.k
3. Hiwezi jua anasumbuliwa na nini. Kuwa rafiki kwake na kaa naye chini utajua shida. Binafsi huwezi mwacha mwanake kisa hazai. Unaweza pia ku adopt mtoto kutoka kwa ndugu zako toka akiwa mdogo akawafariji kwenye maisha yenu. Swala ni kuhakikisha upendo unatawala kwenye maisha yenu. Kama ni mkristo tubu na ubariki ndoa na huyo mwanamke. Pengine mungu kaamua kukupa adhabu
 
Kuna mwanamke nimeishi nae miaka mitano kanisumbua kwel kweli mpaka nilimpata BP biashara hawez, pia miaka mitano hajanizalia, ana kiburi balaa juz kati kaenda kwao rukwa nimemwambia abaki huko huko simtaki tena sina ndoa nae wala sijamlipia mahari amekua mbishi haelewi kabisa mm nipeni njia nimfanyeje anisahau
Ukiwa na mwenza ni kua umeunganisha nafsi zenu mbili ambazo kuachana hua panakua pagumu japo panawezekana,kwa ufupi kama unataka kumuacha ghafla kihuni na utembee na hamsini zako basi we mtongoze mama yake( mkweo) uone kama atarudi hapo,watamng'ang'ani huko huko asirudi kwa mwanaume muhuni,mshenze,jeuri,asiye faa na kila aina ya matusi.ila utakua umeponea hapo.Wasalimie nduguzo jombaa...ASANTE
 
Kuna mwanamke nimeishi nae miaka mitano kanisumbua kwel kweli mpaka nilimpata BP biashara hawez, pia miaka mitano hajanizalia, ana kiburi balaa juz kati kaenda kwao rukwa nimemwambia abaki huko huko simtaki tena sina ndoa nae wala sijamlipia mahari amekua mbishi haelewi kabisa mm nipeni njia nimfanyeje anisahau
Ah ah ah ah ah uhii. Nacheka kama mazuri. Nisamehe bure. Mwambie tu mm na ww basi kwan shida iko wapi. Ila mpe cha kwake cz ktk miaka mi5 kuna kitu kachangia hapo
 
Mkuu wewe si haumtaki unasema ana kusumbua waswahili wanasema ukisema wa nini wenzio wanasema watampata lini......weka namba nimvute geto bado sijaoa hiyo ni fulsa pekee niliyoiona
 
C kaenda kwao kama mlikua mmepanga hama akirud hamna kitu
 
Kuna rafiki yangu alikuwa na kisa kama cha kwako yeye aliishi na yule mwanamke for three years na alikuwa hajamuoa lakini pia yule mwanamke alikosa sifa za kuwa mke jamaa alimuambia live kuwa sikuhitaji yule demu akawa mbishi hivyo hivyo jamaa akasema isiwe tabu akaja kuomba ushauri kwa vijana wakazi alicho ambiwa atoe namba ya yule binti ili atongozwe harafu jamaa aje afumanie awe kamtafutia sababu ya kuwa mwisho wa uhusiano wao na alivyo fumaniwa hakuwa na cha kujitetea ikawa ndio tiketi ya moja kwa moja
 
take action now....chagua kusuka au kunyoa. Asante mkuu japo akili zangu za mgando lakini umenielewa
 
Mlikuwa mnachunguzana tabia eeh.....sasa ameridhika na tabia zako amekuganda. Umempotezea muda wake miaka mitano sasa unategemea nini,tulia kama unanyolewa ndevu.
 
Duh, huyo wa kipekee hajakuzalia tu?tumia mbinu uliotumia kumkaribisha ndio atoke nayo,sio kumfukuza kihivyo
 
You just say by the Tanzania law .. What about God's law? Common now .. We can just ignore the Truth.. If ingekuwa kama amemuharamia huyo Dada na kufunga nae ndoa , will he still come over here Jf and ask how to kick her out ? He would probably ask what can he do to save his marriage and how can his wife get pregnant .. Huyu brother hana uchungu wala hamjali Huyo Dada.. Because hajagharamia chochote .. Na usikute hata kwao kwa mwanammke hawammjui ( inaudhii hii)... 5 good years are wasted . This is the lesson for some women .. Never live with the guy without marriage.. Anayekupenda mwambie nenda kwetu ( hii my Grandma taught me ) ukiona hata interesting ya kwenda kwenu ujue Huyo ni player ....Thanks.
That's the way is suppose to be work out .. The problem some women can't say nothing kwa waume zao I just don't know why... Anaona sijui hatopata mwingine , its just low self steam.. May be and may be not .. But I'm sure kuna reason behind .. That's why ni vema Ku discuss this from the beginning about the future.. So unakuwa na vision and plans.. Kwa jinsi ninavyoona kwa hii relatioship i think walikutana na kupendana na kuanza kuishi pamoja tuu bila malengo . or may be walikuwa na malengo but some how somewhere things didnt go the way it should so my Brother hakukaa nae chini na kuongelea where hapakwenda sawa , nini kinatakiwa kifanyike ili mambo yawe straight andthen wafanye plans zao , I am just guessing .. But they are the ones who know what and where wasnt right.. Thanks..

kuna umuhimu wa kutafuta mkalimani maana hii lugha inasumbua
 
Back
Top Bottom