Mtu special?😁kwa Mtu
Nayo pia ni hela hayo yameisja dukaniAisee Maperfume yamejazana Dukani
Unasubir nini?
Maji ya kutosha oga uogavyo
Unasubiri nini?
Dua yako sio nzuriweka pilipili nyingi kwenye mifuko ya suruali, pilipili huwa zinakata harufu..
ila kumbe nia yako ni kuiba..!? basi naomba ukamatwe red-handed..
Ameeen..!!
You better join sio hahaha.Umbwaaaaa utauwawaaa tafuta hela yako ndogo kihalali or join sisiemu
mbinu nimekupa ama sijakupa..!???Dua yako sio nzuri
😆😆😆😆😂😂
Mimi nafikiri vijana wanahitaji msaada mzito wa kiakili.
Habari za jioni wanzengo katika jukwaa hili la habari na hoja mchangayiko Kuna mada nimeona nilete kwa wenzangu nyie, hivi ukitaka kuingia chumbani kwa Mtu lakini asije kuskia harafu ya mtu tofauti na yeye alieingia mnafanyanje,
Napiga hesabu nikaoge niingie mkavu kabisa asiskie harufu ya jasho Wala harufu nyingine tofauti na yake nitumie mbinu Gani wazee nawasilisha
Nimeshindwa Toka Jana mkjJipulizie dawa ya kuua wadudu...
Hii mnu kibokoTafuta majani ya mmavi mavi uyasage uingie nayo
Weka ugoro dirishani
Juu ya kitanda na kwenye taulo na chupi zao weka upupu
Usiache kuja kunishukuru