Nipeni mawazo kwenye hili

Mkuu usijali ngoja nikusaidie nipe namba yake nimwambie aje kuchukua nyumbani.
 
Ila huyu ananivulimilia Sana yaani ni mke wakuoa ingekuwa na kapesa kadogo tu love ingekuwa shatashata ila tatizo mimi Sina pesa kabisa so hata hizo ndogo zinanipa mishindo [emoji1787]
[emoji23][emoji23] sasa kwann unamucha mkuu si ungesubil uone uvumilivu wake utaishia wapi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…