Nipeni mawazo kwenye hili

Hapana usimdanganye mwambie babe niko ovyo nisamehe...akinuna basi ana walakini
 
Sasa mbona unasumbua watoto wa watu kaka. Elfu 25 ndio umblock mtu? Tena ambae hajakuomba hela tangu muanze mahusiano?

Jambo la maana we jiblock mwenyewe kwenye mahusiano.
amna mkuu haikuwa planned,kuna mazingira aliyatengeneza..nikaona nisionekane fala
 
25k kama ndo unaanza life kubwa sana ila kama uko moderate mfanyie mpango utamtumia kwa sasa mwambie sina niko vibaya nikipata nitakutumia atakuambia basi acha mi nafanya mpango mwingine siku nyingine mtumie ila ilibidi ujizoeshe kutuma ili usibanwe kama hivi leo ungekua na mazoea ya kumtumia then akuombe hivyo ungesema tu sina ila zaidi ya hapo utaonekana mswahili
 
Naamini na nauhakika demu wako hajavuka miaka 25???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…