Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,104
- 64,071
Huku kijijini wako bize kuchoma mikaa, ngoja tukaoshe macho kidogoMkuu kulikoni tena? Mbona unakimbia... Tena kijijini...?
huku kijijini kuna sura za kazi tu, ngoja niende mjini nikaone watoto wazuriSI ulikimbia mjini labda tukupe machimbo ya viazi
Ww sema unatafuta demu mwenye njaa, sio pisi
Ili nisiboreke, nitataka nipate kampani ya mtoto mmoja mzuri sana atakayenitembeza hapa na pale; malipo yake ni nyama choma na vinywaji mbalimbali.
Nikipata wakiarabu au shombeshombe sio mbaya. Unanisaidiaje sasa?Ww sema unatafuta demu mwenye njaa, sio pisi
Malizia safari tu ufike R.city utafurah!Jumapili nataka nika-osheoshe macho katika mji wa Shinyanga, inawezekana nikapata bahati ata ya kuokota almasi, kwa sababu mkoa huo unasifika sana kwa hayo madini.
Ili nisiboreke, nitataka nipate kampani ya mtoto mmoja mzuri sana atakayenitembeza hapa na pale; malipo yake ni nyama choma na vinywaji mbalimbali.
Kwa wale mnaojua machimbo mazuri, ya kuosha macho naombeni mnijuze.
Mimi ni mtu wa kula vaibu, nikiwa bado niko hai; mbinguni ni hukumu tu.
Nipeni machimbo ya weekend.
Bora wewe umenipa machimbo, wengine wanapiga kelele tu. Kati ya hizo ipi iko vizuri sana, unaweza kuipa asilimia 100?Shinyanga Mjini.
1. Bakulutu, ipo mjini kati karibu na stand. Hapo ndio huwa kina happen sana.
2. Level 1 iko Lubaga opposite na Karena Hotel.
3. Binzamata kama unaenda Stand kuu. Kuna Bar inaitwa Serengeti.
Kuna malaya konk huko ngoja nikutumie namba yake akaburudishe siku yako 😎Nikipata wakiarabu au shombeshombe sio mbaya. Unanisaidiaje sasa?
Kule chimbo gani liko vizuri? Ni masaa 3 kutoka shy?Malizia safari tu ufike R.city utafurah!
Kama wewe ulipita usinipatie namba yake.Kuna malaya konk huko ngoja nikutumie namba yake akaburudishe siku yako 😎
Sasa mtu unaishi Shinyanga porini unadhani wote tunaishi huko? Sasa muda huu c tungekuwa tunakimbizana na ngedere Sio kukaa JFBora wewe umenipa machimbo, wengine wanapiga kelele tu. Kati ya hizo ipi iko vizuri sana, unaweza kuipa asilimia 100?
Vipi Butiama ilisha kufa ?Shinyanga Mjini.
1. Bakulutu, ipo mjini kati karibu na stand. Hapo ndio huwa kina happen sana.
2. Level 1 iko Lubaga opposite na Karena Hotel.
3. Binzamata kama unaenda Stand kuu. Kuna Bar inaitwa Serengeti.
Nmefumua sana pale, ni mtamu bro 😎Kama wewe ulipita usinipatie namba yake.
ha ha ha, naweza nikaokota almasi hukuSasa mtu unaishi Shinyanga porini unadhani wote tunaishi huko? Sasa muda huu c tungekuwa tunakimbizana na ngedere Sio kukaa JF
Kama uligonga muhuri hapo hapanaNmefumua sana pale, ni mtamu bro 😎
Inasemekana imebadilishwa jinaVipi Butiama ilisha kufa ?
Inategemea unataka nini? Kama unataka Classic zone bia bei juu, nenda hapo Level 1 Lubaga. Kama unataka Changanyikeni (harufu ya perfume na mineli) hapo Bakulutu patakufaa. Kama unataka sehemu ya kijanja, basi Serengeti patakufaa.Bora wewe umenipa machimbo, wengine wanapiga kelele tu. Kati ya hizo ipi iko vizuri sana, unaweza kuipa asilimia 100?