Nipe mtaji wa grocery teh teh

Majaribu2013

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
952
1,043
Majanga#
Nilikuwa mkoani nikaenda bar kujipatia menu ya usiku kufika nikakaribishwa ma mtoto mrembo sana dah raha tupu akanihudumia mpaka mwisho tulipotoka akanipa namba.
Kesho yake asubuhi nikamcheck ili tuje tuvunje amri si unajua asubuhi ndo huwa wanapumzika, mtoto akaniambia akinipa papuchi nitampa nini nikamwambia aseme duh eti mtaji wa grocery wa m1 teh teh kweli wanawake wengi siku hizi wanategemea ngono kuishi!
 
Mkuu nakushauri umwambie mkapime afya ili mambo yakiwa safi uwe unamgegeda kila siku 1m kwa siku moja mmhhh ni ngumu kumesa
 
Mkuu hawa madada wa kizaz kipya noma sana ..usishangae mimi nilishawai kufungiwa ndani ya chumba kisa malipo baada kuvunja amri ya sita.

....hadi hapo sina hamu...
 
Majanga#
Nilikuwa mkoani nikaenda bar kujipatia menu ya usiku kufika nikakaribishwa ma mtoto mrembo sana dah raha tupu akanihudumia mpaka mwisho tulipotoka akanipa namba.
Kesho yake asubuhi nikamcheck ili tuje tuvunje amri si unajua asubuhi ndo huwa wanapumzika, mtoto akaniambia akinipa papuchi nitampa nini nikamwambia aseme duh eti mtaji wa grocery wa m1 teh teh kweli wanawake wengi siku hizi wanategemea ngono kuishi!

hivi kwanini msalaba wowote wa ngono anarushiwa mwanamke malalamiko?

hivi unafikiri angekuja hiyo ngono angeifanya mweyewe afu wewe uwe mtazamaji?

ngono is the two way journey.. man and woman!

hivyo wote wawili mnategemea ngono kuishi!
 
safi sana kwa ulilofanyiwa na huyo dada... nguvu za kukupiga hana!

PLAN B should apply!

ule bure we nani? kwani mlikubaliana upewe pa.puchi for non profit?

Mkuu hawa madada wa kizaz kipya noma sana ..usishangae mimi nilishawai kufungiwa ndani ya chumba kisa malipo baada kuvunja amri ya sita.

....hadi hapo sina hamu...
 
safi sana kwa ulilofanyiwa na huyo dada... nguvu za kukupiga hana!

PLAN B should apply!

ule bure we nani? kwani mlikubaliana upewe pa.puchi for non profit?

Hawa wafai kabsa ...Ningependa yakukute majibu utayatoa hapahapa....MMU
 
unalalama nini sasa?:......ww kama dau limekushinda kaa pembeni.....2naojua quqlty ya hy papuch, uko nonsens.....nakushauri tafuta atakaye kidhi kipato chako.....maana papuchi ziko ktk standard tofautitofaut
 
Hawa wafai kabsa ...Ningependa yakukute majibu utayatoa hapahapa....MMU

mimi ni mwanaume wa contracts and negotitians.. as long as wanafanya biashara kama biashara nyingine.. we are going to settle down the price kama hainifevi..

kama sina pesa na naihitaji product kwa uharaka.. nakopa!!!

kwanini ufanye mambo kibubu bubu?

ndio maana mi huwa napenda kulipa kwanza...
 
kama unazo mpe , kama una mipango nazo mingi na za msingi usimpe , jitambue je hicho unachokihitaji ni muhimu sana kuliko ndugu zako wasio na chakula , nguo ,jirani yako ana lala na njaa . mhemuko wa kimwili usivuruge utaratibu wako wa maisha labda tu umezidiwa .
 
Huyo atakuwa wa kanda ya kaskazini nadhani ndo zao...

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Na siku hizi naona kwenye zile sehemu maarufu kwa biishara hizo kama kona bar, kimboka na kwingineko aisee wamejaa wenyewe tu!

Ni wazuri lakini ni watu wa demanding sana.....
 
Kabisa wanatoa invoice za ukweli pande za Karatu kwa Dr Slaa asilimia 90 ya grocery zinamilikiwa na mademu baada ya kuwachuna wazungu,madereva tours na wafanyakazi wa Ngorongoro...

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
mimi ni mwanaume wa contracts and negotitians.. as long as wanafanya biashara kama biashara nyingine.. we are going to settle down the price kama hainifevi..

kama sina pesa na naihitaji product kwa uharaka.. nakopa!!!

kwanini ufanye mambo kibubu bubu?

ndio maana mi huwa napenda kulipa kwanza...
mkuu, uko kwenye promo nini? so far so good, lol..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom