Onduru Ogy
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 1,136
- 1,179
Mpe mtaji aanzishe biashara.
sasa ww unataka hyo mali asili yake ikikosa watalii ataishije siku za baadae..and yawezekana anapenda kubadilisha biashara.
Atakuwa Anakusaidia bill ukifika grocery kwake kunywa..na pia utakuwa unadokoa kitumbua bila malipo.